Kiongozi wa upinzani nchini Uganda ameonya kuwa, wananchi wa nchi hiyo huenda wakafuata nyayo za Wamisri na Watunisia kuleta mabadiliko nc...


Kiongozi wa upinzani nchini Uganda ameonya kuwa, wananchi wa nchi hiyo huenda wakafuata nyayo za Wamisri na Watunisia kuleta mabadiliko nc...
Kwa mujibu wa matokeo ya awali ya kura za maoni yaliyotolewa na tume ya upigaji kura za maoni ya sehemu ya kusini mwa Sudan tarehe 30 kwen...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo ameelezea hatua ambazo amesema zitaongoza juhudi za kutatua mzozo wa kisiasa nchini...
Bw Nelson Mandela Aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela ametolewa...
Wakati huohuo miezi sita baada ya mafuriko kuikumba Pakistan idadi kubwa ya waliopoteza nyumba zao na tegemeo lao la kimaisha wam...
Nelson Mandela na mkewe Graca Machel Hali ya usalama imeimarishwa nchini A...
David Kato Mwanaharakati wa kutetea haki za wapenzi wa jinsia moja wa Uga...
Idhaa ya BBC ya World Service imetangaza mipango yake ya kufunga idhaa tano zinazotangaza kwa lugh...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amerejea msimamo wake wa kuimarisha afya ya wanawake na watoto . Ban Ki-moon Geneva Ban ames...
Bei za chakula duniani zinaongezeka jambo ambalo huenda likasababisha mtafaruku wa chakula kama uliotokea mwaka 2007/2008 limesema shirika ...
Mwana wa kiume wa rais Husni Mubarak wa Misri, ambaye anatabiriwa kumrithi, amekimbilia Uingereza akiwa na familia yake huku maandam...
Maandamano makubwa ya kuipinga serikali yamefanyika tarehe 25 nchini Misri, ambapo baadhi ya waandamanaji walipambana na polisi, na kusa...
Mfungwa wa kwanza katika jela ya Guantanamo kushtakiwa kwenye mahakama ya kiraia, Ahmed Ghailani ...
Maharamia wa Somalia wameteka nyara meli ya MV Beluga Nominations mali ya Ujerumani ikiwa na mabaharia wa nchi mbalimbali kwenye maji ya ...
Mashirika ya Umoja wa Mataifa yakiwemo shirika la maendeleo la Umoja wa Mataifa UNDP, shirika la mazao na kilimo la Umoja wa Mataifa FAO p...
Mfuko wa kimataifa Global Fund wa kupambana na ukimwi, kifua kikuu na malaria unadai kurejeshewa dola milioni 34 ambazo hadi sasa ...
Ujumbe wa Kamati ya Umoja wa Afrika unaoongozwa na mwenyekiti wa umoja huo Bw. Jean Ping, umekagua ujenzi wa kituo cha mikutano kinachoj...
Uwanja wa ndege wa Domodedovo wa Moscow umetikisika baada ya kutokea mlipuko wa bomu ambapo msemaj...
Naibu waziri wa biashara wa China Bw. Zhong Shan akiiwakilisha serikali ya China amesaini makubaliano na wajumbe wa serikali za Zambia na ...
Filamu fupi iitwayo "not my life" yaani sio maisha yangu inayohusu unyonyaji na ukatili wa watoto imeanza kuonyeshwa jana kwenye ...
Kwa mujibu wa shirika la utabiri wa hali ya hewa duniani WMO mwaka 2010 ni mwaka ulioweka rekodi ya kuwa na joto sana sambamba na ule wa 2...
Katika mwaka wa pili mfululizo kongamano la uwekezaji katika utalii barani afrika linalofanyika katika maonyesho ya utalii ya kimataifa FI...
Rais wa Uchina Hu Jinato na Rais wa Marekani Barack Obama Rais Barack Obam...
Matokeo ya kura ya maoni ya kujitenga ama la kwa Sudan Kusini yanakusanywa pamoja hivi sasa kutoka vituo 3000 . Benjamin Mkapa Jo...
Waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga akatisha ziara yake nchini Cote d'Ivoire Kupatikana suluhu katika mzozo wa kisiasa Cote d'Iv...
Rais wa Marekani Barack Obama anaongoza sherehe za siku ya Martin Luther King katika sikukuu ya kitaif...
Mwanajeshi wa Congo Kamanda wa jeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ...
Jopo la Umoja wa Mataifa lililotwikwa jukumu la kuangalia zoezi la kura ya maoni ya kuamua hatma ya eneo la Sudan Kusini limeelezea kuridh...
Shirika la biashara na maendeleo la Umoja wa Mataifa UNCTAD linasema kuwa uwekezaji wa kigeni ulipungua mwaka uliopita wa 2010. Uwekezaji ...
Shirika la kimataifa la hali ya hewa WMO linasema kuwa mafuriko yaliyoshuhudiwa nchini Australia yalisababishwa na adhari za msimu wa La N...
Mazungumzo yanaendelea Arusha, makao makuu ya Jumuia ya Afrika mashariki nchini Tanzania, juu ya ...
Watu takriban mia mbili thelathini na saba, wamefariki dunia Kusini Mashariki mwa Brazil katika k...
Maelfu ya watu wameanza kuondoka katika vitongoji vya mji wa Brisbane, ambao ni wa tatu kwa ukubwa nchini Australia, huku wengine wakiku...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF limepongeza hatua ya amani na utulivu iliyojitokeza katika kura ya maoni inayoendel...
Wapiga kura ya maoni Sudan kusini Januari 9, 2011 Chama tawala cha kusini ...
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kutoa msaada wa dharura wa kijeshi na usaidizi mwingine kwa ...
Askari wa Sudan Kusini akisindikiza msafara wa watu wanaorudi kutoka kaskazini kuelekea Abyei. Maafisa wa Suda...
Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga amesema kuwa mgogoro wa kisiasa ambao umeshindwa kutatuliwa na Ivory Coast yumkini ukadumaza na kureje...
Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa anayehusika na kuchunguza hali watetesi wa haki za binadamu Margaret Sekaggya ameanza ziara yake...
Jeshi la Uganda la UPDF limeanzisha uchunguzi dhidi ya wanajeshi wake 12 pamoja na mafisa wat...
Hillary Clinton Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani amewasili katika eneo la Mashariki ya Kati kwa shabaha ya kufuatilia siasa za...
Upigaji kura za maoni kusini mwa Sudan umeanza saa mbili asubuhi ya leo tarehe 9. Upigaji kura huo utakaodumu kwa wiki moja, utaamua kama...
Wanaharakati wa Sudan Kusini wakitoa ishara za kutaka kujitenga wakati Omar Al Bashir alipofanya ziara. Kura ...
Idadi ya watu 77 wameuawa na wengine 35 wamejeruhiwa katika ajali ya ndege iliyotokea kutokana na hali mbaya ya hali ya hewa, kaskazini-ma...
KONA za mji wa Mbeya zimezizima kwa minong’ono baada ya kuibuka kwa taarifa za mtoto wa kike mwenye umri wa miaka tisa kujifungua mtoto am...
Walikuwa njiani wakielekea nchini Yemeni wakati boti yao ilipozama nje ya pwani ya nchi hiyo. Kwa mujibu wa taarifa ya wizara ya ndani ya ...
Naibu waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang amesema China inapenda kushirikiana na Umoja wa Ulaya katika kukabiliana na msukosuko wa uchumi...
Idara kuu inayoshughulikia mambo ya wahamiaji ya wizara ya mambo ya ndani ya Afrika Kusini tarehe 7 ilitoa taarifa, ikisema imeanzisha kik...
Kamishina mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Navi Pillay leo amelaani mashambulio ya karibuni yanayolenga makundi ya kidini kati...
......Mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA Dk.Wilbroad Slaa,Josephine Slaa akiwa ametapakaa damu baad...
Shirikisho la soka la Asia AFC litazitoa mechi tatu za kandanda kwa ajili ya vita dhidi ya njaa na umasikini wakati wa kombe la Asia. Mpi...
China ikiwa nchi iliyosaini Mkataba wa Shirika la Afya Duniani WHO unaohusu Udhibiti wa Matumizi ya Tumbaku, imeshindwa kuzuia uvutaji wa...