Searching...
Tuesday, January 18, 2011

Jopo la UM la kungalia kura ya maoni Sudan laelezea kuridhika kwake na zoezi la upigaji kura

Jopo la Umoja wa Mataifa lililotwikwa jukumu la kuangalia zoezi la kura ya maoni ya kuamua hatma ya eneo la Sudan Kusini limeelezea kuridhishwa kwake na jinsi zoezi hilo lilivyoendeshwa likisema kuwa zoezi hilo lilikuwa na mpangilio mzuri na kuwawesesha wenyeji kuelezea hisia zao bila vizuizi.
Mpigaji kura Sudan
Mpigaji kura Sudan
Jopo hilo liliwapongeza watu wa Sudan kwa kuhakikisha kuwa kura hiyo iliendeshwa wakati uliowekwa na kwa amani na kuipa pongezi tume iliyosimamia kura hiyo kwa kufanikisha kura hiyo.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!