Searching...
Thursday, January 6, 2011

Mke Wa Dr Slaa Alivyojeruhiwa Na Polisi......

......Mke wa Katibu Mkuu wa Chama cha CHADEMA Dk.Wilbroad Slaa,Josephine Slaa akiwa ametapakaa damu baada ya kujeruhiwa vibaya kwa kipigo na polisi wakati wakivunja maandamano ya viongozi na wanachama wa chama hicho yaliyofanyika mjini Arusha.Katika maandamano hayo watu kadhaawalijeruhiwa baada ya kupigwa na palisi wa kutuliza ghasia.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!