Searching...
Tuesday, January 25, 2011

Umoja wa Afrika wasifu ujenzi wa kituo cha mikutano

Ujumbe wa Kamati ya Umoja wa Afrika unaoongozwa na mwenyekiti wa umoja huo Bw. Jean Ping, umekagua ujenzi wa kituo cha mikutano kinachojengwa kwa msaada wa serikali ya China, na kusifu mchakato na sifa ya ujenzi wa mradi huo.
Naibu mwenyekiti wa Umoja wa Afrika amesema Umoja wa Afrika unakiona kituo hicho kuwa ni zawadi yenye thamani kubwa ya wananchi wa China kwa wananchi wa Afrika.
Ujenzi wa kituo hicho cha mikutano ni moja kati ya miradi muhimu ya China inayotekelezwa barani Afrika, na kinatarajiwa kumalizika mwishoni mwa mwaka 2011

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!