Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM linasema kuwa idadi ya wahamiaji kote dunian inatarajiwa kupanda na kufikia wahamiaji milioni 405 ifi...
Sudan yajieungua kushiriki katika mkutano wa viongozi wa Afrika na Ulaya
Serikali ya Sudan imesema kuwa, haitoshiriki katika kikao cha viongozi wa Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya ambacho kinaanza leo katika ...
Juhudi imara za amani zatakiwa wakati UM ukiadhimisha siku ya kimataifa ya mshikamano kwa Wapalestina
Kila mwaka siku ya kimataifa ya mshikamano kwa ajili ya watu wa Palestina inatathimnini hali ya Wapalestina na kufikiria nini kifanyike za...
Wasiwasi wazuka Kenya baada ya Waziri Mkuu kuamuru wasenge wakamatwe
Wasiwasi umezuka nchini Kenya baada ya Raila Odinga Waziri Mkuu wa nchi hiyo kutoa amri ya kukamatwa wasenge na wasagaji. Nguru Karugu mju...
Wasio wavutaji hufa kwa kuvuta sigara
Utafiti mpya uliofanywa na shirika la afya duniani WHO unaonyesha kuwa watu 600,00 wasio wavutaji ...
Luanda-Angola yataka nchi za Afrika zikabiliane na changamoto za usafi na mazingira
Makamu rais wa Angola Bw. Fernando dos Santos tarehe 25 huko Luanda alitoa mwito wa kuzitaka serikali za nchi za Afrika na mashirika ya ki...
China na Afrika kufungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kirafiki
Balozi wa China nchini Jamhuri ya Congo Bw. Li Shuli tarehe 25 alisema China itashirikiana na watu wa Afrika ili kufungua ukurasa mpya wa ...
UNEP: Malengo ya Maendeleo ya Milenia kutofikiwa kutokana na uhaba wa maji barani Afrika
Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa UNEP limesema kuwa malengo ya maendeleo ya milenia huenda yakafeli katika nchi nyingi za Afrika ...
Hali ya upatikanaji maji Afrika yazidi kushuka-UNEP
Ripoti moja imesema kiwango cha upatikanaji maji kwa kila mtu barani Afrika kimeanza kushuka. Maji - Afrika Ripoti hiyo ambayo imechapish...
Hitilafu juu ya jinsi ya kugawana maji ya Mto Nile
Viongozi wa Misri wamesisitiza juu ya udharura wa kutatuliwa hitilafu zilizopo kuhusu jinsi ya kugawana maji ya Mto Nile kwa njia ya maz...
Siku ya kimataifa kutokomezwa kwa dhuluma dhidi ya wanawake kuadhimishwa kesho tarehe 25
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema kuwa kuna hatua zilizopigwa kote duniani ambapo watu wanaungana kumaliza dhulu...
China yashikilia kuongeza uwezo wa kujiendeleza wa Afrika
Mjumbe maalumu wa serikali ya China anayeshughulikia mambo ya Afrika Bw. Liu Guijin alisema China inapenda kujikita katika kuongeza uwez...
Obama awasilisha mpango wa kuwasambaratisha LRA
Kiongozi wa LRA, Joseph Kony, (L) Rais wa Marekani Barack Obama amewasilisha bungeni mpango wa utawala wake wa kuung...
Waathirika wa mafuriko Pakistan wahofia majira ya baridi:ICRC
Maelfu ya waathirika wa mafuriko ya Pakistan kwenye jimbo la Khyber Pakhtunhkwa wanakimbizana na wakati kabla ya kuwasili kwa majira ya ba...
Maambukizi mapya ya virusi vya HIV na ukimwi yanapungua duniani:UNAIDS
Idadi ya watu wapya wanaoambukizwa virusi vya HIV na ukimwi inapungua kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na mpango wa pamoja kupambana na uk...
Nairobi-Idadi ya watu kwenye miji barani Afrika yakadiriwa kuongezeka kwa mara mbili
Ripoti mpya kutoka Shirika la makazi la Umoja wa Matifa (UN-HABITAT) imesema, katika miaka 40 ijayo idadi ya watu kwenye miji barani Afrika...
Hatua zimepigwa Afrika katika kutokomeza ukeketaji kwa wanawake:UNICEF
Hatua kubwa zimepigwa katika juhudi za kutokomeza ukeketaji kwa wanawake barani Afrika licha ya shinikizo la mila na utamaduni kat...
Bara la Afrika halifaidiki na mali asili yake:UNCTAD
Mkutano wa 14 wa UNCTAD kuhusu mafuta, gesi, Madini, biashara na masuala ya fedha Afrika utafanyika Sao Tome , katika visiwa vya S...
WHO yaona juu ya dawa ya malaria kuanza kuwa sugu
Shirika la afya duniani WHO limesema juhudi za kupambana na malaria huenda zikapata pigo endapo usugu dhidi ya dawa ya artemisini ...
Shule zilizojengwa kwa msaada wa China zaboresha miundo mbinu ya elimu nchini Kenya
Waziri wa elimu wa Kenya Bw. Sam Ongeri tarehe 17 kwenye sherehe ya kuzikabidhi shule za msingi za vijijini kwa Kenya alisema, shule hizo ...
Ghailani hakupatikana na hatia ya ugaidi
Manhattan Federal Court, New York, 12 Oct 2010 "Serikali ilibidi kuonesha kwamba alijua nini lengo la wap...
EID MUBARAK WADAU WOTE
Blog hii inawapa mkono wa Eid wadau wote popote pale muitembeleapo Blog hii na kuwatakia sikukuu njema na yenye furaha,kher ya Eid wadau.
Waingereza waliotekwa Somalia waachiwa huru
Rachel na Paul Paul na Rachel Chandler wameachiwa baada ya kukaa mateka kwa zaidi ya mwaka mmoja baada ya kikombozi...
Burundi yaiunga mkono Misri kuhusu matumizi ya maji ya mto Nile
Muhammad Rukara mshauri maalum wa Rais wa Burundi leo amesema, serikali ya Bujumbura haitachukua msimamo dhidi ya Misri kuhusu makubalia...
Obama asisitiza tena ushirikiano kati ya mataifa ya Kiislamu na Magharibi
Rais Barack Obama akitoa hotuma katika chuo kikuu cha Indonesia mjini Jakatra hapo Novemba, 10 2010. "Mare...
Maandamano makubwa kupinga ada Uingereza
Maelfu ya wanafunzi pamoja na wahadhiri wameandamana eneo la Bunge la Uingereza la Westminster wa...
WHO imezindua ripoti ya udhibiti wa TB 2010
Shirika la afya duniani WHO leo limezindua ripoti muhimu kabisa kuwahi kutolewa kuhusu hatua zilizopigwa kukabiliana na ugonjwa wa...
FAO yazindua kalenda ya kilimo kwa Afrika
Shirika la chakula na kilimo duniani FAO limezindua mfumo mpya wa kalenda kwa ajili ya nchi za Africa ambao utakuwa ukitoa mwongoz...
Obama akutana na Jintao, Merkel katika G20
Rais Barack Obama katika mazungumzo na Rais wa China Hu Jintao kando ya mkutano wa G-20 mjini Seoul, Korea Kusini. Vi...
Obama aunga mkono India kupata kiti cha kudumu UN
Rais Barack Obama akiwa na Waziri Mkuu wa India Manmohan Singh. Rais Barack Obama wa Marekani anasema anaunga mkono k...
je wajua kama wajua muziki wa dansi ulianzia tanga.?!
Ukitaka kuongea muziki wa dansi uliingiaje nchini ni muhimu kujua historia ya mji wa Tanga. Tanga ndipo muziki wa dansi ulipoingilia n...
Ugaidi bado ni tishio kubwa Kusini Mashariki mwa Asia:UM
Ugaidi bado unatajwa kuwa tisho kubwa kusini mashariki mwa Asia hata baada ya mitandao ya kigaidi kupata pigo kufuatia ushirikiano...
Askari polisi auwa watu 10 Kenya
Maafisa wa serikali ya Kenya wamesema askari polisi aliyehamaki amewapiga risasi na kuwauwa watu ku...
Polio yaripotiwa kuzuka DR Congo:WHO
Mkurupuko wa ugonjwa wa Polio umeripotiwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo huku visa ya maambukizi 120 na vifo 58 vikiripo...
Maandalizi ya michezo ya Asia yakamilika
Zikiwa zimebaki siku tano kabla ya kufunguliwa kwa michezo ya 16 ya Asia itakayofanyika huko Guangzhou, kusini mwa China, kamati ya maand...
Obama ataka biashara zaidi na India
Rais Barack Obama akizungumza huku Mkurugenzi wa Mahindra & Mahindra Ltd. Anand Mahindra akisikiliza wakati wa...
61 wauawa katika mlipuko wa bomu katika msikiti mmoja nchini Pakistan
Kwa hakika watu 61 wamepoteza maisha yao na wengine takribani mia moja kujeruhiwa baada ya kutokea mlipuko katika msikiti mmoja kaskazin...
Dola bilioni 100 kwa mwaka zitapatikana kukabili mabadiliko ya hali ya hewa ifikapo 2020:UM
Itawezekana kukusanya dola bilioni 100 kwa mwaka ili kusaidia nchi zinazoendelea kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa, gesi z...
Rais Jakaya Kikwete ashinda awamu ya pili
Rais Jakaya Kikwete ametangazwa mshindi katika uchaguzi wa rais nchini Tanzania huku mpinzani Dr. Slaa apinga matokeo hayo. ...
UM na washirika wake watoa ombi la dola milioni 47 kuwasaidia walokumbwa na mafuriko Benin
Mashirika ya miasaada yanayosaidia nchini Benini kukabiliana na athari za mafuriko yamezindua ombio la msaada wa dola milioni 47 i...
Uchina inakuwa kwa kasi na kwa ushawishi mkubwa:Ban
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amehitimisha ziara yake nchini Uchina hii leo kwa hotoba maalumu. Ban Ki-moon Akihutub...
Slaa anadai kuwepo na wizi wa kura Tanzania
Mtumishi wa kituo cha kupiga kura cha Mzambarauni akitayarisha vifaa vya kupiga kura "Tumehesabu matokeo ...
dk shein ala kiapo leo,zanzibar yazizima
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk Ali Mohammed Shein Akila Kiapo cha kuwa Rais wa awamu ya saba wa Zanzibar k...
WASANII WA TANZANIA WANA ULIMBUKENI WA KUIGA KILA KITU - MRISHO MPOTO
Mrisho Mpoto Msanii mahiri wa mashairi nchini,Mrisho Mpoto ameeleza kile anachoamini kwamba,tasnia ya sanaa na wasanii wa Bongo hawawezi ...
Shamrashamra za Ushindi wa Dr Ali Shein
Zanibar Wapenzi na wafuasi wa vyama vya CCM na CUF,wakijimwaga barabarani kwa pamoja kushangilia ushi...
Upigaji kura wamalizika Tanzania
Mamilioni ya Watanzania wamejitokeza kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, uchaguzi amb...