Searching...
Tuesday, November 2, 2010

Shamrashamra za Ushindi wa Dr Ali Shein

Zanibar
Wapenzi na wafuasi wa vyama vya CCM na CUF,wakijimwaga barabarani kwa pamoja kushangilia ushindi wa Wazanzibari baada ya kumalizika kwa uchaguzi mkuu uliofanyika kwa utulivu na amani na kumshuhudia Dk.Ali Mohamed Shein,akitangazwa kuwa Rais mteule huku mpinzani wake mkubwa,Maalim Seif Sharif Hamad wa CUF,akimuunga mkono.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!