Searching...
Saturday, November 6, 2010

Rais Jakaya Kikwete ashinda awamu ya pili

Rais Jakaya Kikwete ametangazwa mshindi katika uchaguzi wa rais nchini Tanzania huku mpinzani Dr. Slaa apinga matokeo hayo.  

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete atangazwa mshindi.
Tume ya Taifa ya uchaguzi nchini Tanzania imetangaza matokeo ya uchaguzi wa rais ambapo Rais Jakaya Kikwete amepata  ushindi wa asilimia 61.17 na kurudi tena madarakani kwa muhula wa pili nchini humo.
Kwa mujibu wa tume hiyo iliyotangaza matokeo hayo katika ukumbi wa Karimjee Dar es salaam mbele ya wagombea wote isipokuwa Dr.Wilbroad Slaa ambaye amesema anapinga matokeo hayo.
Matokeo hayo ni kama ifuatavyo :
Kikwete Jakaya Mrisho wa CCM kura 5,276,827 sawa na asilimia  61.17 .
Dr.Slaa Wilbroad Peter  wa CHADEMA  kura 2271942 sawa na asilimia 26.34
Lipumba Ibrahim Haruna  695,667 sawa asilimia 8.
Rungwe Hashim Spunda NCCR-MAGEUZI 26,338 sawa na asilimia  0.31.
Kuga Peter Mziray asilimia  APPT Maendeleo asilimia  1.12
Mughaiywa Mutamwega Bhatt TLP 17,428 asilimia 0.20
Dovutwa Yahmi Nassoro Dovutwa UPDP 13,176 asilimia 0.15

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!