Searching...
Wednesday, November 3, 2010

dk shein ala kiapo leo,zanzibar yazizima


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk Ali Mohammed Shein Akila Kiapo cha kuwa Rais wa awamu ya saba wa Zanzibar katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk Ali Mohammd Shein, akikagua gwaride rasmi la vikosi vya ulinzi katika sherhe maalum cha kua kiapo cha kuwa Rais wa Awamu ya saba wa Zanzibar, katika uwanja wa Amaan Studiam, Mjini Unguja leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe, Dk Ali Mohammed Shein Akila Kiapo cha kuwa Rais wa awamu ya saba wa Zanzibar katika sherehe zilizofanyika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja leo. Umati wa watu uliohudhuria katika sherehe za akuapishwa kwa rais zilizofanyika leo.Picha na Ramadhan Othman Zanzibar

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!