Kikundi cha kutengeneza Tamthilia Urbun Purse wamezindua rasmi tamthilia ya "Lovely Gamble" katika mji wa Reading, nchini Uinger...
Ban aipongeza Malawi kwa mafanikio ya kukabiliana na umasikini na njaa
Malawi lazima ijulikane duniani kote kwa mafanikio yake ya kupambana na umasikini na njaa na kuongoza katika kampeni ya malengo ya milenia....
Mahakama ya ICC kujadiliwa Uganda.
Ocampo akiwa na Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga ...
Kupunguza hatari ya majanga ni muhimu kwa mabadiliko ya hali ya hewa
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo ameelezea umuhimu wa kupunguza hatari za majanga katika kukabiliana na changamoto za mabad...
Ki-Moon: Watu milioni moja na nusu hufariki kila mwaka kwa uvutaji sigara
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema ongezeko la utumiaji wa sigara ulimwenguni linatia wasiwasi. Ban Mi-Moon amesema katika ujumbe wak...
Utumizi wa dawa za kulevya wadidimiza vita dhidi ya Ukimwi Afrika
Sunday, 30 May 2010 Ongezeko la utumizi wa dawa za kulevya hasa heroini mashariki na kusini mwa Afrika ni tishio ku...
Obama afurahishwa na maafikiano ya kutosambaa silaha za kinuklia
Barack Obama Rais Barack Obama amefurahishwa na makubaliano yaliyoafikiwa katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa, kuhusiana na mkataba wa...
Umoja wa Mataifa: Watu 60 wameuawa hivi karibuni nchini Somalia
Umoja wa Mataifa umesema kwamba raia 60 wameuawa na wengine 14,300 kuyakimbia makaazi yao katika mapigano ya hivi karibuni kati ya vikosi ...
Marekani yaonya ugaidi Kombe la Dunia
Timu ya soka ya Marekani ...
BREKING NYUZZZZ:MZEE PWAGU AFARIKI DUNIA
Mzee Pwagu enzi za uhai wake HABARI ZILIZOIFIKIA TOKA HOSPITALI YA MWANANYAMALA JIJINI DAR,ZINASEMA KWAMBA MWANZILISHI WA SANAA YA UIGIZA...
Nchi za Afrika zimekutana kupambana na maambukizi ya HIV kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto
Wawakilishi kutoka mataifa 20 ya Afrika yaliyo na watu wengine wenye virusi vya HIV wanakutana Nairobi Kenya kujadili jinsi ya kukomesha m...
Watu wasiopungua 25 wafariki katika ajali ya treni nchini India
Watu wasiopungua 25 wamefariki dunia katika ajali ya treni iliyotokea huko mashariki mwa India baada kutokea mripuko na kusababisha treni ...
Walinzi wa pwani ya Marekani wameidhinisha juhudi mpya za BP
Mafuta yalomwagika katika ghuba ya Mexico. Walinzi wa pwani ya Mare...
UM umezindua kampeni kusaidia miji baada ya kukumbwa na majanga
Umoja wa Mataifa umezindua kampeni ya miaka miwili kuisaidia miji kuwa imara baada ya kukumbwa na majanga. Haiti baada ya tetemeko Len...
Wafanyakazi Afrika Kusini watishia kugoma wakati wa kombe la dunia
Muungano wa vyama vya wafanyakazi nchini Afrika Kusini COSATU umetishia kuitisha mgomo wa nchi nzima wakati wa mashindani ya kombe la duni...
Nairobi-Uharamia wa Somalia waleta hasara kubwa ya kiuchumi kwa nchi za Afrika Mashariki
Shirikisho la mawakala wa meli la Kenya limesema, kutokana na kupamba moto kwa utekaji nyara unaofanywa na maharamia wa Somalia, nchi za A...
Rais Hu Jintao wa China afanya mazungumzo na rais Patil wa India
Rais Hu Jintao wa China tarehe 27 hapa Beijing amekuwa na mazungumzo na rais Pratibha Patil wa India ambaye yuko ziarani nchini China. Ra...
Nchi za Ulaya zajipanga kukabiliana na umaskini barani humo
Umoja wa Ulaya umetangaza kuwa, wakazi milioni 80 wa nchi wanachama wa umoja huo wanaishi chini ya mstari wa...
Wayne Rooney akanusha hali yake si nzuri
Rooney asema yupo imara kucheza Kombe la Dunia ...
Uchumi wa dunia unaanza kuchipuka japo haumalizi tatizo la ajira
Ripoti ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa leo inasema uchumi wa dunia umeanza kuchipuka tena kutoka katika mdororo japo ni polepole n...
SHEREHE ZILIZOFANYIKA KATIKA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA SIKU YA AFRIKA
Keki inayowakilisha ramani ya afrika kama inavyoonekana Princess lummy akiwakilisha moja watu kutoka afrika sherehe hizo zilifanyika huko Ne...
Balozi wa China ahudhuria Mazungumzo ya Baraza la Afrika
Balozi wa China katika ofisi ya Umoja wa Mataifa huko Geneva Bw. He Yafei tarehe 25 alishiriki kwenye Mazungumzo ya Baraza la Afrika (A...
Wakati ukiadhimishwa mkataba wa haki za mtoto UM umezindua kampeni mpya
Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wamewachagiza mataifa kuidhinisha mikataba miwili kulinda haki za watoto_ Uuzaji wa watoto, ukahaba wa watot...
Viongozi wa Afrika watakiwa kugawa rasilimali za nchi kwa uadilifu
Kamati ya watu mashuhuri wanaofuatilia maendeleo ya bara la Afrika imewataka viongozi wa Kiafrika kusambaza raslimali za nchi zao kwa uadi...
Kasisi atiwa mbaroni Italia kwa tuhuma za kumlawiti kijana mdogo
Kasisi mmoja mwenye umri wa miaka 73, ametiwa mbaroni mjini Milan Italia akikabiliwa na tuhuma za kumharibu kwa muda wa zaidi ya miaka mit...
Cairo-Mgao wa maji ya mto Nile wa Misri hautabadilika
Waziri mkuu wa Misri Bw. Ahmad Nazif tarehe 24 alisema makubaliano ya maliasili ya maji ya mto Nile hayatabadili mgao wa maji ya mto huo w...
New York-Umoja wa Mataifa hautaacha kuisaidia Somalia kutatua tatizo lake
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-moon tarehe 24 alisema Umoja wa Mataifa hautaacha kuisaidia Somalia kutatua tatizo lake, na taa...
Leo ni siku ya Afrika huku nchi nyingi zikiadhimisha miaka 50 ya uhuru
Leo ni siku ya Afrika ambayo inaadhimisha pia kuanzishwa kwa Umoja wa Nchi huru za Afrika mwaka 1963 na baadaye kugeuzwa jina na k...
Kesi ya maharamia yaanza Uholanzi
Kesi ya kwanza kufanyika baran...
Abidjan- Ongezeko la uchumi wa Afrika kwa mwaka 2010 latazamiwa kufikia 4.5%
Shirika la Ushirikiano wa kiuchumi na Maendeleo(OECD) na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) tarehe 24 zilitoa ripoti ikisema, ingawa mwak...
Ban anaamini hatua zitakazochukuliwa na baraza la usalama dhidi yakuzama meli ya Korea
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameunga mkono wito wa Rais wa Korea Kusini kuliaka baraza la usalama kufikiria kuchukua hatua ...
Afrika Kusini yaanzisha mahakama ya kesi za kombe la dunia
Msemaji wa Wizara ya Sheria ya Afrika Kusini ametangaza kuwa tayari zaidi ya mahakama 50 zimeundwa katika kila pembe ya nchi hiyo ili kush...
TANGAMANO- UWANJA MAAFURU KWA MATUKIO JIJINI TANGA!
Wananchi wa jijini Tanga wakiwa katika uwanja wa Tangamano wakifuatilia tukio. Akinamama wakijimwaga Tangamano. Hii kali jamani!! Tangama...