Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa msaada wa dola milioni moja na laki mbili kwa serikali ya Tanzania, kwa minajili ya kuisa...
Afrika Kusini yaadhimisha miaka 17 ya uchaguzi wa kidemokrasia
Afrika Kusini imeadhimisha miaka 17 ya uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia ulioondoa sera ya ubaguzi wa rangi. Katibu mkuu wa chama ANC Bw....
Libya kukabiliwa na matatizo makubwa ya chakula kama hatua hazitochukuliwa kusaidia:WFP
Shirika la mpango wa chakula duniani WFP limesema linatiwa hofu na hali ya usalama wa chakula nchini Libya ambako kwa zaidi ya mwe...
Makundi hasimu ya Palestina yaafikiana
Israel inapinga muafaka huu kati ya Fatah na Hamas Makundi...
Foleni baada benki kufunguliwa I Coast
Benki Ivory Coast Maelfu ya raia wa Ivory Coast wamepanga foleni kutoa pe...
Barcelona 2 Real Madrid 0
Nyota wa Barcelona Lionel Messi alifunga mabao mawili ya haraka haraka katika dakika za mwisho, na...
Man United yaichapa Schalke 2-0
Manchester United imepiga hatua kubwa kuelekea katika fainali ya Klabu Bingwa Ulaya, baada ya kuifunga Schalke katika nusu fainali ya kwanz...
Berbatov kutocheza Jumanne na Schalke 04
Manchester United itamkosa mpachika mabao wake hodari Dimitar Berbatov kwa mechi ya kwanza ya nu...
HAPPY BIRTHDAY ANKALI CHUMA..............!!!
Leo ni siku ya furaha kwa mpendwa wetu ankali CHUMA PAYO aneishi nchini Holland.Blogu hii inaunga na ndugu,jamaa na marafiki katika kuadhimi...
Arsenal yaboronga
Matumaini ya Arsenal kuwania ubingwa wa ligi kuu ya England yamefifia zaidi baada ya kufungwa 2-1 n...
Polisi Uchina wawatia waumini kizuizini
Polisi wa Uchina wamewatia kizuizini wafuasi wa kanisa liliopigwa marufuku la Shouwang. ...
Watu 57 wameuwawa mapigano Sudan Kusini
Katika vita baina ya jeshi la serikali na wapiganaji wakati Sudan Kusini inapojitahidi kupambana na...
HAPPY BIRTHDAY ANKALI RASHID MILLER.............!!!!!
Blog hiii inaungana na familia,ndugu,jamaa na marafiki katika kuadhimisha siku adhimu ya kaka yetu mpendwa RASHID MILLER aliye katika jij...
Gharama za dawa za malaria zimepungua Afrika:UM
Mpango wa kimataifa wa kuhakikisha dawa za kuzuia malaria zinapatikana kwa gharama nafuu katika jamii nyingi za vijiji Afrika unapiga hatu...
Wakati dunia ikiadhimisha Siku ya Malaria, UM umetoa wito wa juhudi zaidi kudhibiti ugonjwa huo unaouwa mamilioni
Siku ya Malaria duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ni ya kutathimini juhudi zilizopigwa kimataifa katika kudhibiti ugon...
Viongozi wa Afrika Mashariki wataka misaada zaidi itumwe nchini Somalia
Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wametoa wito kwa jamii ya kimataifa kutoa misaada zaidi ya kifedha kwa ajili ya kikosi cha Umoja...
Real Madrid yashinda Copa Del Rey
Real Madrid imeichapa Barcelona bao 1-0 na kunyakua kombe la kwanza katika msimu wa soka nchini Uhi...
Arsenal yabanwa, Chelsea yapeta
Chelsea imeiruka Arsenal katika msimamo wa ligi na kujikita katika nafasi ya pili baada ya kuichapa...
Umeipata hii.........!! Africa ni Mama wa Lugha Zote Duniani
Lugha zote duniani - tangu Kiingereza hadi Mandarin - chimbuko lake ni barani Afrika tangu makumi ya maelfu ya miaka...
KHER YA KUZALIWA KAKA JABIRY ABDALLAH...........!!!!!!
Blog hiii inaungana na familia,ndugu,jamaa na marafiki katika kuadhimisha siku adhimu ya kaka yetu mpendwa JABIRY ABDALLAH aliye katika mji...
Kufichuliwa nyaraka zinazoonyesha jinsi Waingereza walivyowatesa Wakenya
Mahakama Kuu ya London imefichua nyaraka zinazothibitisha namna wanamapinduzi wa Mau Mau nchini Kenya walivyoteswa na wanajeshi katili w...
Kamakamata maandamano Swaziland
Mfalme Mswati III wa Swaziland Polisi katika mji wa kibiashara wa Swazilan...
Fukushima bado inafukuta
Maafisa nchini Japan wamesema hali ya dharura katika kinu cha nuklia cha Fukushima kiwango cha kutoka kwa chembechembe za mionzi kimefika ...
United Yaichapa Chelsea 2-1
Magoli mawili ya Chicharito na Ji Sung Park yamein'goa Chelsea katika michuano ya Klabu Bingwa ...
Mwanasiasa wa Uingereza achoma moto Qur'ani Tukufu
Sion Owens mwanachama wa chama cha BNP nchini Uingereza amechoma moto Qur'ani Tukufu kwa lengo la kuvutia uungaji mkono wa wanachama...
Gbagbo akamatwa baada ya purukushani
Laurent Gbagbo akionyeshwa kwenye televisheni muda mfupi baada ya kukamatw...
HAPPY BIRTHDAY NANIIIIIIIII.............!!!!!!
Blog hiii inaungana na familia,ndugu,jamaa na marafiki katika kuadhimisha siku adhimu ya Mh.Naniiiiiii katika siku ya kuzaliwa kwake,Blog hi...
Nato yashambulia waasi inaowasaidia
Waasi mashariki mwa Libya wanasema majeshi yao yamepigwa na majeshi ya Nato katika...
Ethiopia, Misri wavutania maji ya Nile
Rais Meles Zenawi Hali ya wasiwasi imeongezeka tangu seri...
Kikosi kitiifu kwa Laurent Gbagbo wa Ivory Coast chasalimu amri
Askari wa kiongozi anayeendelea kung'ang'ania uongozi nchini Ivory Coast Laurent Gbagbo wametangaza kusitisha vita nchini humo n...
Rooney akabiliwa na adhabu kwa kutukana
Wayne Rooney anakabiliwa na adhabu ya kukosa mechi mbili, kutokana na kosa la kutumia lugha chafu ...
Waasi wa Libya kusafirisha mafuta
Waasi Brega Usafirishaji wa kwanza wa mafuta kutoka eneo ...
HAPPY BIRTHDAY MKURUGENZI WA TOLICHOWKI............!!!!
Blog hii inaungana na ndugu,jamaa na marafiki katika kuadhimisha siku muhimu katika maisha ya Mh.BLEST VILON MALEKO a.k.a Mkurugenzi wa Wana...
Idadi ya watu nchini India yafikia bilioni 1.2
Takwimu za hivi punde zinaonyesha kuwa Idadi ya watu nchini India imeongezeka na kufikia bilioni 1.2, ikiwa ni sawa na kujumuisha pamoja i...