Searching...
Sunday, April 24, 2011

HAPPY BIRTHDAY ANKALI RASHID MILLER.............!!!!!

Blog hiii inaungana na familia,ndugu,jamaa na marafiki katika kuadhimisha siku adhimu ya kaka yetu mpendwa RASHID MILLER aliye katika jiji la Tanga nchini Tanzania,Blog hii inamtakia kila la kher katika shughuli zake za kila siku.M/Mungu amjaalie afya njema,uzima na nguvu,amzidishie hekma na busara katika maisha yake ya kila siku.Amin.
HAPPY BIRTHDAY RASHID MILLER.............!!!!!

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!