Searching...
Friday, April 29, 2011

Afrika Kusini yaadhimisha miaka 17 ya uchaguzi wa kidemokrasia

Afrika Kusini imeadhimisha miaka 17 ya uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia ulioondoa sera ya ubaguzi wa rangi. Katibu mkuu wa chama ANC Bw. Gwede Mantashe amesema ANC haifurahishwi na hali ya wazungu nchini humo kumiliki asilimia 87 ya ardhi na asilimia 72 ya nyadhifa katika sekta za biashara na viwanda, pia aliishutumu kundi la Afrikaanerbond lililokuwa mhimili wa serikali ya kibaguzi kwa kutaka kuendeleza sera hiyo, akijibu malalamiko ya kundi hilo dhidi ya serikali ya Afrika Kusini kwamba inapuuza katiba na kutumia ovyo madaraka ya watu wengi

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!