Blog hii inaungana na ndugu,jamaa na marafiki katika kuadhimisha siku muhimu katika maisha ya Mh.BLEST VILON MALEKO a.k.a Mkurugenzi wa Wanamji hapa Tolichowki Hyderabad,India,Blog inamtakia kher na fanaka katika maisha yake yote M/mungu amjaalie afya njema na maisha yenye furaha kila leo,ameen.
HAPPY BIRTHDAY ANKALI BLEST...!!!
0 comments:
Post a Comment