Searching...
Monday, April 25, 2011

HAPPY BIRTHDAY ANKALI CHUMA..............!!!

Leo ni siku ya furaha kwa mpendwa wetu ankali CHUMA PAYO aneishi nchini Holland.Blogu hii inaunga na ndugu,jamaa na marafiki katika kuadhimisha siku adhimu kwa ankali CHUMA,Blogu hii inamtakia kila la kher katika shughuli zake za kila siku uwe ni mwenye furaha katika maisha yako ankali,M/Mungu akuzidishie busara na hekma katika kila jambo na akupe afya njema.amin
HAPPY BIRTHDAY ANKALI CHUMA...........!!!!!

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!