Blog hiii inaungana na familia,ndugu,jamaa na marafiki katika kuadhimisha siku adhimu ya kaka yetu mpendwa JABIRY ABDALLAH aliye katika mji wa
HAPPY BIRTHDAY JABIRY ABDALLAH..............!!!!!
nchini Uturuki,Blog hii inamtakia kila la kher katika shughuli zake za kila siku.M/Mungu amjaalie afya njema,uzima na nguvu,amzidishie hekma na busara katika maisha yake ya kila siku.Amin.HAPPY BIRTHDAY JABIRY ABDALLAH..............!!!!!
0 comments:
Post a Comment