Glory to God in highest heaven, Who unto man His Son hath given; While angels sing with tender mirth, A glad new year to all the earth. ...


Glory to God in highest heaven, Who unto man His Son hath given; While angels sing with tender mirth, A glad new year to all the earth. ...
Mahakama moja nchini Angola imemhukumu kwenda jela miaka 24 mtuhumiwa wa shambulio la timu ya taifa ya soka ta Togo, mwezi Januari. ...
Wakati huohuo taarifa zinasema wakimbizi zaidi wa Ivory Coast wanamiminika nchini Liberia wakihofia usalama wao kutokana na machafuko ya k...
Maafisa wa serikali ya Nigeria wamesema takriban watu themanini wameuwawa katika mfululizo wa mas...
Wakati pilikapilila za uchaguzi zikirejea tena nchini Nigeria - huku wagombea wakimwaga fedha katika mabango, matangazo ya televisheni na ...
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China bibi Jiang Yu tarehe 28 hapa Beijing alisema, China ikiwa mwenyekiti wa zamu wa utaratibu wa u...
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa tarehe 25 alitoa taarifa akilaani vikali shambulizi la bomu la kujiua, lililotokea katika sehemu ya Baja...
Familia za Wasomali 12 waliokamatwa nchini Uholanzi zimekanusha madai yaliyotolewa dhidi ya raia hao kuwa walikuwa wakipanga mikakati ya...
Dimitar Berbatov aliipatia Manchester United mabao mawili rahisi dhidi ya Sunderland na kuzidi ku...
Blogu hii inapenda kuungana na mdau kubwa wa blogu hii katika kusherehekea kuzaliwa kwake tarehe kama ya leo ni kumbukumbu kubwa na siku ya ...
Blogu hii inapenda kuungana na wadau wote kwa kuwatakia kheri ya krismasi iliyojawa furaha,amani, upendo na mshikamano kwa pamoja. Kheri ya...
Inter Milan ya Italia imethibitisha kuwa imemfukuza kazi meneja Rafael Benitez, miezi sita tu baa...
Vijana kutoka kote duniani wameelezea mtazamo wao kuhusu masuala wanayoayona kuwa muhimu kwenye mkutano wa baraza la usalama la U...
Taarifa kutoka nchini Ivory Coast zinasema majeshi yanayomuunga mkono Rais Laurent Gbabgo aliyeshindwa uchaguzi yameweka vizuizi kwenye Gol...
Ofisa mhusika wa kampuni ya mabasi ya abiria tarehe 20 alithibitisha kuwa, mlipuko wa mabomu ya mkononi umetokea katika basi lililokuwa li...
Utabiri wa hali ya hewa unaonyesha kwamba hali ya baridi kupindulia inayoathiri sehemu za Ulaya Magharibi na Mashariki mwa Mareka...
Msh ambuliaji kutoka Cameroon, Samuel Eto'o, amekuwa mtu wa kwanza kushinda tuzo ya mwanasoka ...
Mamia ya abiria waliokwama katika uwanja wa Frankfurt Theluji nyingi imetatiza usafiri wa abiria wanaojaribu kuwahi kufika nyumbani kwa...
Waziri mkuu wa China Bw. Wen Jiabao ambaye yuko ziarani nchini Pakistan amependekeza kuwa kuthibitisha ukarabati baada ya maafa nchini Pak...
Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa tarehe 19 asubuhi lilifanya majadiliano ya dharura kuhusu hali ya peninsula ya Korea. Baada ya maj...
Wakati huohuo Kamishina mkuu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa Navi Pillay amesema anahofia sana ongezeko kubwa la ukiukaji wa haki z...
Waziri mkuu wa China Bw. We Jiabao ambaye yuko ziarani nchini India amesema, suala la mipaka kati ya China na India ni suala linalobaki kw...
Mamilioni ya Waislamu wa madhehebu ya Shia kote duniani hii leo wameshiriki katika maombolezo ya kumbukumbu ya Ashura yaani siku aliyoua...
Hofu imeelezewa kuhusu kutopatikana kwa muafaka kuhusu suala tata la almasi za Zimbabwe chini ya mchakato wa Kimberly , mpango uliowekwa il...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa onyo kali kwa makundi yanayokandamiza watu nchini Ivory Coast likisema kuwa sheria za kimat...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR limesema limeshtushwa na ajali mbaya ya boti iliyotokea kwenye kisiwa ch...
Ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la kazi duniani ILO inasema kiwango cha kuongezwa mishahara duniani kimekatwa kwa nusu mwaka 2008 na...
Mazembe yaweka historia Mabingwa wa Afrika TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidem...
Ndege ya mwisho iliyobeba waislamu wa China waliokwenda kuhiji iliondoka Jeddah, Saudi Arabia na kurudi Beijing tarehe 14 usiku. Waislamu...
Kiongozi wa mashtaka wa mahakama ya kimataifa ya Uhalifu ICC, Loius Moreno Ocampo, anatarajiwa kut...