Searching...
Tuesday, December 21, 2010

Baraza la usalama lafanya majadiliano ya dharura



Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa tarehe 19 asubuhi lilifanya majadiliano ya dharura kuhusu hali ya peninsula ya Korea.
Baada ya majadiliano hayo yaliyoitishwa na Russia, huenda mkutano rasmi ukafanyika.
Jeshi la Korea ya Kusini tarehe 16 lilitangaza kuwa, litafanya mazoezi ya kulenga shabaha kwa bunduki kwenye eneo la bahari karibu na kisiwa cha Yanping siku moja kati ya tarehe 18 hadi tarehe 21. Jeshi la Korea ya Kaskazini lilionya kuwa, kama Korea ya Kusini itafanya mazoezi hayo, basi Korea ya Kaskazini itajibu mashambulizi kwa ajili ya kujihami, ambayo yatakuwa makubwa kuliko safari iliyopita.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!