Bibi Jiang Yu amesema rais Hu Jintao wa China amemwandikia barua rais Jacob Zuma wa Afrika kusini, na kumwalika kuhudhuria mkutano wa tatu wa viongozi wa nchi hizo utakaofanyika mwaka kesho hapa China. China ina imani kuwa kushirki kwa Afrika Kusini kutasaidia maendeleo ya utaratibu huo, pia kutahimiza ushirikiano kati ya nchi zenye soko linalokua.


0 comments:
Post a Comment