Searching...
Tuesday, December 21, 2010

Mawaziri wa China na Pakistan wakutana

Waziri mkuu wa China Bw. Wen Jiabao ambaye yuko ziarani nchini Pakistan amependekeza kuwa kuthibitisha ukarabati baada ya maafa nchini Pakistan iwe ni moja ya kazi muhimu katika ushirikiano kati ya China na Pakistan.
Bw. Wen na waziri mkuu wa Pakistan Bw. Yousuf Raza Gilani wameshuhudia kusainiwa kwa nyaraka za ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika uchumi, nishati, mambo ya fedha na utamaduni, yakiwemo makubaliano ya kusikika kwa matangazo ya CRI kwenye mawimbi ya FM katika miji mitano ya Pakistan.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!