Searching...
Sunday, December 26, 2010

HAPPY BIRTHDAY ANKALI NASS JUNIOR.......!!

Blogu hii inapenda kuungana na mdau kubwa wa blogu hii katika kusherehekea kuzaliwa kwake tarehe kama ya leo ni kumbukumbu kubwa na siku ya furaha katika maisha yake Blogu hii inaungana na familia,ndugu jamaa na marafiki katika kuadhimisha siku adhimu kwa kijana wetu na mdau mkubwa wa Blogu hii sio mwingine ni.....Ankali NASIB IBRAHIMU a.k.a Nass junior Blog hii inamtakia mafanikio mema katika maisha yake yaliyojawa furaha,amani na upendo na kumtakia kila la kher katika masomo yake.
HAPPY BIRTHDAY ANKALI NASS...!!!

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!