
Bw. Wen Jiabao aliyasema hayo alipotoa hotuba kwenye Kamati ya mambo ya dunia ambayo ni jumuia ya washauri mabingwa kuhusu masuala ya kidiplomasia na ya kimataifa. aidha amesema kuaminiana kwa moyo wa dhati na kufanya juhudi kwa hatua madhubuti kutasaidia kutatua suala hilo kwa njia ya haki na halali inayokubaliwa na pande zote mbili.


0 comments:
Post a Comment