Viongozi wa Afrika katika mkutano wa AU Kampala Waziri mdogo wa wizara ya m...


Viongozi wa Afrika katika mkutano wa AU Kampala Waziri mdogo wa wizara ya m...
Kesi ya polisi wawili wa Misri wanaoshtakiwa kwa kufanya ukatili na kusababisha kifo cha mtu mwenye umri wa miaka 28 mwezi mmoja uliopota im...
Vifaru vya walinzi wa amani wa Umoja wa Afrika katika mitaa ya Mogadishu, Somalia. ...
Wizara ya Afya ya Cameroon imetangaza kuwa takriban watu 77 wamefariki dunia kufuatia mripuka wa maradhi ya kipindupindu nchini humo. Taar...
Habari kutoka Nairobi mji mkuu wa Kenya zinasema kuwa watu 11 wamefariki dunia huku wengine kadhaa wakipoteza uwezo wao wa kuona baada ya k...
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Asha Rose Migiro, jana amehutibia mkutano wa Umoja wa Afrika unaofanyika mjini Kampala Ugand...
Kiongozi wa Libya Moammar Gadhafi akiwasili Uganda tayari kwa mkutano wa Umoja wa Afrika. ...
Mkutano wa 18 wa kimataifa kuhusu ugonjwa wa ukimwi ulifungwa tarehe 23 mjini Vienna, Austria. Ujumbe mkuu uliotolewa na mkutano huo wa si...
Baadhi ya askari wa kulinda amani Somalia ...
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetoa ripoti ikikiri kwa mara ya kwanza kwamba utumwa bado unashuhudiwa nchini humo katika sura ya kis...
Watetezi wa haki za wafuasi wa dini za wachache nchini India wamekosoa vikali ubaguzi unaofanywa na mabenki ya nchini humo katika kutoa hu...
Ofisa mwandamizi wa Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa Bw. António Guterres ambaye yuko ziarani nchini Jamhuri ya kidem...
Bodi ya wakurugenzi ya shirika la fedha duniani IMF imeidhinisha kuifutia Haiti deni lote la dola milioni 268 inalodaiwa na shirika hilo. ...
Umoja wa Afrika umekiri katika ripoti yake ya siri kwamba askari wake wanaolinda amani nchini Somalia wanashambulia ovyo maeneo ya raia mj...
Mahakama moja ya Marekani. Maafisa wa Marekani wamemfungulia mashitaka ya ugaidi ki...
Waasi wa jimbo la Darfur Sudan na Umoja wa Mataifa leo wametia sahii mkataba wa kuwalinda watoto. Watoto wa Darfur Hatua hii ina lengo l...
Tathimini ya mratibu wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya kibinadamu nchini Somalia Mark Bowden inasema Somalia ni moja ya matatizo ya kibina...
Mkutano wa mawaziri wa masuala...
Leo tarehe 21 July ni siku ya kuzaliwa Dada FARIDA ABDALLAH SEIF wa Hyderabad,India. Blog hii inaungana na familia yake,ndugu jamaa na mar...
Polisi Afrika Kusini ...
Taarifa iliyotolewa tarehe 20 na ofisi ya uongozi wa kazi ya kukabiliana na mafuriko na maafa ya China inasema, kutokana na mvua kubwa ku...
Mkutano wa maandalizi ya mkutano wa 15 wa wakuu wa Umoja wa Afrika ulifunguliwa tarehe 19 huko Kampala, Uganda. Kauli mbiu ya mkutano huo ...
Idadi ya watu waliofariki kwenye ajali mbaya ya treni nchini India imepanda na kufikia 61. Idadi hiyo ambayo mchana wa leo ilikuwa imetajw...
Ripoti mpya iliyotolewa na shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF inasema usambaaji wa chini kwa chini wa virusi ...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema kumepigwa hatua kubwa kimataifa kukabiliana na HIV na ukimwi. Mkutano wa uk...
Wasomi na wataalamu wa maradhi ya ukimwi wametoa wito wa kufanyika juhudi kubwa zaidi za kutumia vyema rasilimali chache zilizopo kwa ajil...
Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amesisitiza kuwa katiba mpya ya nchi hiyo hataikuwa na kipengee chochote kinachodhamini haki ya kuruhusu nd...
Watu wasiopungua 48 wamefariki dunia katika ajali ya treni mbili zilizogongana huko mashariki mwa India mapema leo Jumatatu. Afisa mmoja ...
Polisi ya Kimataifa Interpol imechapisha picha mbili zinazodhaniwa ni za watu waliohusika na mashambulizi ya kigaidi yaliyouwa watu 73 kat...
Kasisi wa Kenya amekana mashtaka mawili ya madai ya njama za kutega bomu katika maandamano ya kuip...
Kwa mara nyingine tena, kile kinachoelezwa kama 'wananchi wenye hasira, kimefanya kazi yake tena baada ya kumchoma moto wa tairi kija...
Serikali ya Afrika Kusini imeliomba Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa liichague nchi hiyo kuwa mjumbe asiye wa kudumu wa baraza hilo h...
Baraza kuu la Umoja wa Mataifa leo limefanya kikao kisicho rasmi kuienzi kwa mara ya kwanza siku ya kimataifa ya Nelson Mandela a...
Wakimbizi wa Rwanda Wakimbizi wa Rwanda walior...
Shirika la kimataifa la uhamiaji IOM hivi sasa linashirikiana na serikali ya Afrika ya Kusini, mashirika ya Umoja wa Mataifa na mashirika ...
Rais Barack Obama wa Marekani amelilaani shambulio la bomu lililofanywa mjini Kampala na wapiganaji wa al Shabaab. Rais Obama ameyas...
Uchunguzi mpya wa maoni uliofanywa na gazeti mashuhuri la The Washington Post kwa ushirikiano na kanali ya televisheni ya ABC nchini Marek...
Mamia ya watu waliandamana jana mjini Paris wakiitaka Ufaransa kukomesha ukoloni mambo leo katika makoloni yake ya zamani barani Afrika. W...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri amesema kuwa utatuzi wa hitilafu zilizojitokeza kuhusu matumizi ya maji ya Mto Nile kati ya nchi za kandok...
Msemaji wa serikali ya Uganda Bw. Fred Opolot tarehe 12 amesisitiza kuwa milipuko miwili iliyotokea usiku wa manane wa tarehe 11 huko Ka...
href="file:///C:%5CUsers%5Cnkya85%5CAppData%5CLocal%5CTemp%5Cmsohtml1%5C01%5Cclip_filelist.xml"> ...
Nchi za Afrika zimetakiwa kuchukua hatua kubalidi uchumi wake wakati zikichipuka tena kutoka kwenye mdororo wa uchumi, ili uweze ...
Ni siku ya furaha katika maisha ya wahitimu waliomaliza shahada zao za kwanza kwa elimu ya juu hapa Hyderabad,India.Wakirusha kofia zao juu ...