Hawa ndio wazoefu wa kitaa hicho cha tolichowki udocni,wa kwanza kulia kwako ni M/kiti mstahafu wa jumuiya ya wanafunzi waishio hyderab...
HAPPY BIRTHDAY PRINCESS LUMMY............!!!!
Blogu hii inaungana na familia,ndugu,jamaa na marafiki katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa dada yetu mpendwa Bi.PRINCESS LUMMY a.ka LU...
Obama alaani ghasia nchini Libya
Eneo la Benghazi nchini Libya Rais Barrack Obama wa Marek...
Bei ya Petroli yapanda
Bei ya mafuta ghafi ya Brent imeongezeka mno Kiwango cha b...
Raia wa kigeni waondoka Libya
Raia wa Libya akielekea mpaka wa Tunisia Maelfu ya wageni wanaofanya kazi ...
HAPPY BIRTHDAY ANKALI ABDILLAH D. NKYA........!!!!!
Bw.ABDILLAH D. NKYA wa hapa Hyderabad,INDIA ambaye pia ni Mwenyekiti mstaafu aliepita leo anaadhimisha siku ya kuzaliwa kwake,Blogu hii inau...
Benki kubwa kadha wa kadha za kimataifa zasimamisha shughuli nchini Côte d'Ivoire
Baada ya benki kubwa kadha wa kadha za kimataifa kusitisha shughuli zao Côte d'Ivoire, Benki ya Afrika na Benki ya Kimataifa ya Afri...
Gaddafi azidi kuchagizwa Libya
Utawala wa Kanali Muammar Gaddafi uko chini ya shinikizo kali, kufuatia maandamano makubwa katika ...
HAPPY BIRTHDAY ALHADJI MOHAMED SOMO
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mpendwa wetu,rafiki yetu,ndugu yetu,kaka yetu ALHADJI.MOHAMED SOMO ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwake Blogu hii ina...
Rais Yoweri Museveni ashinda uchaguzi wa urais
Tangazo rasmi limetolewa kuthibitisha kuwa Rais Museveni ndiye mshindi katika uchaguzi uliofanywa I...
United yapenya Kombe la FA
Manchester United imepenya kuingia robo fainali ya kombe la FA baada ya kuifunga timu ya daraja la...
Chelsea yatolewa kombe la FA
Bingwa mtetezi Chelsea imetolewa katika raundi ya nne ya michuano ya kombe la FA, baada ya kufungw...
Giggs asaini mkataba mpya Man United
Mcheza soka mkongwe Ryan Giggs amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja katika klabu yake ya Manchester United. ...
HAPPY BIRTHDAY KAKA HUSSEIN MSILIMWA.......!!!
Blogu hii inaungana na familia,ndugu,jamaa na marafiki katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa kaka yetu mpendwa Bw.HUSSEIN MSILIMWA.leo ni...
Kuna maendeleo kwenye kufikia ustawi wa kijamii-ILO
Kuna hatua kubwa iliyopigwa kwa mataifa mbalimbali juu ya kuteleza mikakati ya kuboresha ustawi wa haki za kijamii. Siku ya Kimataifa ya...
KM Ban ataka utumiaji nguvu dhidi ya waandamanaji ukomeshwe mara moja
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameyataka mataifa ya Afrika Kaskani na Mashariki ya Kati kujiepusha na matumizi ya nguvu za do...
Waathirika wa mabomu kufidiwa Tanzania
Nyumba iliyoporomoka baada ya mlipuko Wakati wakazi wa jij...
Watu kadhaa wauawa kwenye mlipuko Dar
Milipuko katika ghala la silaha nchini Tan...
HAPPY BIRTHDAY DADA SHUKURU YUSUF NJATI..........!!!
Blogu hii inaungana na familia,ndugu,jamaa na marafiki katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa dada yetu mpendwa Bi.SHUKURU YUSUF NJATI.leo ...
Misri yazitaka nchi za Ulaya na Marekani kuzuia mali za Mubarak
: Rais wa zamani wa Misri, Hosni Mubarak Misri imeziomba nchi za Ulaya na Marekani kuzizuia akiba za benki za aliekuwa rais wa nchi ...
Ili kushinda vita dhidi ya malaria lazima ruzuku na kodi zitolewe kwenye dawa na vyandarua
Wiki hii mkutano maalumu wa kutathimini hali ya kupambana na malaria duniani umefanyika na kutoa wito wa kuondoa kodi katika madawa ya mal...
Kenya kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa wa nimonia
Kenya leo imekuwa nchi ya kwanza ya Afrika kuanza kutoa chanjo mpya dhidi ya ugonjwa wa nimonia kwa watoto ambayo inatarajiwa kuokoa mai...
Waandamanaji waondoka mitaani Misri
Maelfu ya waandamanaji nchini Misri wameondoka katika eneo la wazi la Tahrir katika mji mkuu wa Cairo, baada ya utawala wa kijeshi kuahidi...
MSIBA HYDERABAD,INDIA
Marehemu Nickson Membi Jumuiya ya wanafunzi wa kigeni mjini hyderabad India (TSAH) inasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi mwenzao Nic...
Misri washerekea kuondoka kwa Mubarak
Maelfu ya wananchi wa Misri bado wametapakaa katika eneo la wazi la Tahrir mjini Cairo, siku moja baada ya kujiuzulu kwa Rais Hosni Mubara...