Searching...
Monday, February 21, 2011

HAPPY BIRTHDAY ALHADJI MOHAMED SOMO

Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mpendwa wetu,rafiki yetu,ndugu yetu,kaka yetu ALHADJI.MOHAMED SOMO ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwake Blogu hii inaungana na ndugu,jamaa na marafiki kumtakia kher katika siku hii adhimu katika maisha yake M/Mungu amjaalie maisha bora ufanisi wa hali ya juu katika kazi zake za kila siku hekma na busara zitawale katika mambo yake.amin
HAPPY BIRTHDAY MOHAMED SOMO....!!!

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!