Searching...
Sunday, February 13, 2011

MSIBA HYDERABAD,INDIA


Marehemu Nickson Membi
Jumuiya ya wanafunzi wa kigeni mjini hyderabad India (TSAH) inasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi mwenzao Nickson Membi kilichotokea leo alfajiri tar 13 feb.2011 maeneo ya singapore city hyderabad kwa ajali ya gari,Jumuiya ya TSAH inawaomba wanafunzi wote na ndugu na jamaa kufika kufika nyumbani kwa M/kiti kwa wamwanzamwanza sainikpuri ambapo taarifa zaidi zitatolewa kwani mwili wa marehemu unategemewa kusafirishwa kuelekea Tanzania
Tulikupenda sana lakini M/mungu amekupenda zaidi

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!