Bw.ABDILLAH D. NKYA wa hapa Hyderabad,INDIA ambaye pia ni Mwenyekiti mstaafu aliepita leo anaadhimisha siku ya kuzaliwa kwake,Blogu hii inaungana na ndugu,jamaa na marafiki katika kuadhimisha siku adhimu kwa kaka yetu. M/Mungu amjaalie afya njema katika maisha yake,busara na hekma zitawale katika maisha yake ya kila siku. amin
HAPPY BIRTHDAY ABDILLAH D. NKYA
0 comments:
Post a Comment