Blogu hii inaungana na familia,ndugu,jamaa na marafiki katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa kaka yetu mpendwa Bw.HUSSEIN MSILIMWA.leo ni siku adhimu katika maisha yake.Blogu hii inamtakia kila la kher katika maisha yake M/Mungu amjalie afya njema,ufanisi katika shughuli zake amjalie busara na hekima katika kila jambo.amin
HAPPY BIRTHDAY HUSSEIN MSILIMWA
0 comments:
Post a Comment