Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, ameutaka uongozi wa Wekundu hao wa Msimbazi kusajili wachezaji 25 tu msimu ujao wa ligi kuu ...
MRUNDI ANAYETAKIWA SIMBA, WAZUNGU WATIA MKONO
Wakati Simba imeshaanza harakati za kumnasa Amissi Cedric ili ajiunge nayo msimu ujao, kuna taarifa timu za Ubelgiji na Ulaya Masharik...
LIGI YA MABINGWA MIKOA KUANZA KUTIMUA VUMBI MEI 10
Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) msimu wa 2013/2014 itakayochezwa kwa mkondo mmoja inaanza kutimua vumbi Mei 10 mwaka huu katika vituo vi...
OFFICIAL: DIDIER KAVUMBAGU ASAINI AZAM FC MWAKA MMOJA
Mshambuliaji wa kimataifa wa Burundi aliyekuwa anakipiga kwenye klabu ya Dar Young African Didier Kavumbagu amesaini kuichezea klabu bingw...
BAYERN WAVULIWA UBINGWA UEFA, WALIMWA 5-0 NA REAL MADRID, BALE ASEMA….
BAYERN Munich wamevuliwa ubingwa wa UEFA kwa kipigo cha mbwa mwizi baada ya kufungwa mabao 5-0 na Real Madrid katika me...
KAULI YA GUARDIOLA BAADA YA KIPIGO KUTOKA KWA REAL MADRID
PEP Guardiola ameeleza kuwa kiwango walichoonesha Bayern Munich ni kikubwa mno japokuwa walifungwa mabao 4-0 na Real Ma...
KATIBU MKUU WA FIFA AWASILI MEI MOSI
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), Jerome Valcke anawasili nchini kesho (Mei 1 mwaka huu)...
MOURINHO AWAONESHA JEURI `WAJUAJI` WA MPIRA KULIKO YEYE
ZIKIWA zimebaki saa chache kushuhudia timu itakayoungana na Real Madrid katika mchezo wa fainali ya UEFA mei 24 mjini L...
DANI ALVES ATUPIWA NDIZI NA WABAGUZI WAPUUZI WA HISPANIA, AWAONYESHA JEURI, AOKOTA HALAFU
Dani Alves ametupiwa ndizi zikiwa ni alama sahihi za upuuzi wa watu wenye hisia za kibaguzi nchini Hispania wakati timu yake ya Barcelon...
LUIS SUAREZ ABEBA TUZO YA MWANASOKA BORA WA MWAKA ENGLAND, HAZARD NAYE ANG'ARA
WANASOKA BORA WA MWAKA ENGLAND Mchezaji Bora wa Mwaka: Luis Suarez (Liverpool). Mchezaji Bora Chipukizi wa mwaka: Eden Hazard (Che...
ATLETICO MADRID HAIKAMATIKI LA LIGA, REAL NA BARCA ZIANDIKE MAUMIVU TU MWAKA HUU
Hatukamatiki: Wachezaji wa Atletico Madrid wakishangilia ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji Valencia leo, bao pekee la Raul Garcia dakika...
CHELSEA YAIPIGA 2-0 LIVERPOOL ANFIELD,VITA YA UBINGWA ENGLAND INOGILE
CHELSEA imeifunga Liverpool mabao 2-0 Uwanja wa Anfield katika mchezo wa Ligi Kuu ya England na kufufua matumaini ya ubingwa. Mabao ya...
MAN CITY YACHINJA 2-0...NI JINO KWA JINO NA LIVERPOOL NA CHELSEA KILELENI
MWANASOKA bora wa Afrika, Yaya Toure amerejea kwa kishindo na kuiwezesha Manchester City kurejea kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya ...
RONALDO AIONYA BAYERN, APIGA 2 REAL AKISHINDA 4-0, RAMOS ANENA….
MABAO mawili ya mwanasoka bora wa dunia, Mreno, Cristiano Ronaldo katika ushindi wa 4-0 wa Real Madrid dhidi ya Osasuna usiku w...
BWANA MKUBWA GIGSS ALIVYOANZA KAZI JANA OLD TRAFFORD
Kipenzi cha mashabiki: Kocha wa muda wa Manchester United, Ryan Giggs akiwapigia makofi mashabiki Uwanja wa Old Trafford baada y...
MHOLANZI VAN GAAL AMBAKISHA RVP MAN UNITED
HALI shwari sasa!. Mshambuliaji wa Manchester United, Mholanzi, Robin Van Persie ameamua kuendelea kukaa katika klabu hiyo kufu...
KOCHA MPYA STARS ATUA DAR NA KUSEMA; “NIMEKUJA KUWAPA KILE MLICHOKIKOSA KWA MUDA MREFU”
KOCHA mpya wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Martinus Ignatius ‘Mart’ Nooij amewasili usiku huu mjini Dar es Salaam taya...
MWEHU' BALOTELLI AMUWAKIA SEEDORF KWA KUMTOA NJE AC MILAN IKIPIGWA 2-0
AS Roma imeendelea vyema katika mbio za ubingwa baada ya kuilaza AC Milan mabao 2-0 jana. Shukrani kwao wafungaji wa mabao hayo, Miral...
VAN GAAL AMTEUA KLUIVERT KOCHA MSAIDIZI WAKE MAN UNITED
KOCHA Luis van Gaal anajiandaa kumchukua Patrick Kluivert akawe msaidizi wake atakapojiunga na Manchester United. Kwa mujibu wa gazeti ...
REAL MADRID NA BAYERN MUNICH KATIKA PICHA JANA BERNABEU
Juu kwa juu: Cristiano Ronaldo (katikati) akiwa ameruka juu zaidi ya Alaba (wa pili kushoto) na Dante kuwania mpira wa juu katika Nus...