Hatukamatiki:
Wachezaji wa Atletico Madrid wakishangilia ushindi wa 1-0 dhidi ya
wenyeji Valencia leo, bao pekee la Raul Garcia dakika ya 43, unaowafanya
waeongoze La Liga iliyofikia ukingoni kwa pointi sita zaidi.
Nyota wa Atletico Madrid, Raul Garcia akishangilia bao lake pekee
0 comments:
Post a Comment