Hili ni jengo la kupokelea abiria mpaka sasa uwanja huu haujulikani utakamilika lini kwani toka mwaka jana walisema mwezi wa kumi na mbili...
Airtel YakabidhiMilioni 50 Kwa Mshindi Wa Pili Wa MZUKA Promo!
Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akikabidhi hundi ya mfao ya shilingi milioni 5o/= kwa mshindi wa pili wa promosheni ya A...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar atembelea kijiji cha Mchekeni Kiwengwa Wilaya ya Kaskazini kuwapa pole waliopatwa na janga la nyumba zao kuteketea kwa moto
MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF ALI IDDI AKIZUNGUMZA NA BAADHI YA WAKAAZI WA MCHEKENI KIWENGWA AMBAO NYUMBA ZAO ZIMETEKETEA ...
Ujeuri wa Chisora Waishia Ulingoni!!
Vitali Klitschko alifanikiwa kuhifadhi mkanda wake wa WBC uzani wa heavy mjini Munich, Ujerumani, licha ya kwamba mpinzani wake kutoka Lond...
WADAU MSAADA UNAHITAJIKA WA SHILINGI MILIONI 45 BEATRICE ATIBIWE INDIA!!
Baetrice Emanuel Kantimbo Baetrice Emanuel Kantimbo(48)mkazi wa kwembe kata ya Kibamba,jijini Dar es salaam anaomba msaada wa fedha za ku...
MASHINDANO YA KUTAFUTA TIMU YA TAIFA YA MASUMBWI YAENDELEA
Bondia Fabian Gaudence (kushoto) akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na Idd Pialali wakati wa mashindano ya kuchagua mabondia watakaowaki...
TZ GOVERNMENT PRESENTS PAPER ON COMPREHENSIVE AFRICA AGRICULTURE DEVELOPMENT PROGRAMME.
Above and Below is Permanent Secretary Ministry of Agriculture Food Security and Cooperatives Mohamed Muya presenting Tanzanian Country Pap...
SHIRIKA LA SAVE THE CHILDREN LAZINDUA KAMPENI YA KUPAMBANA NA UTAPIAMLO KWA WATOTO: MDAU WA HAKI ZA WATOTO HOYCE TEMU ASHAURI ELIMU YA LISHE ITOLEWE KWA WANANCHI.
Baadhi ya Wanafunzi hao wakiwa na Mh. Hilda Ngowi. Mh. Mbunge wa Viti Maalum toka mkoa wa Iringa Lediana Ng'ong'o akizungumza na...
CCM Yafafanua Kuwatenga Wazee
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Nape Moses Nnauye. ==== Kumekuwa na tafsiri zisizosahihi juu ya baadhi ya maamuzi yaliyofanywa...
Airtel Brings "Nani Mkali" Promotion
Airtel Public relations Manager, Jackson Mmbando (centre) speaking during the unveiling of "Nani Mkali" promotion. **** . ...
MZEE YUSUF AKARIBISHWA VALENTINE'S DINNER NA KUTUNIKIWA ZAWADI NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE WASHINGTON DC
Angalia Video ya Mwimbaji wa Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf, alivyokaribishwa rasmi valentines dinner, nyumbani kwa Missy Temeke, akishir...
MSAADA UNAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA MTOTO SULEIMAN ABDALLAH!!
Veronica Lawrence, mama wa mtoto wa miezi mitano, Suleiman Abdallah, akionesha utumbo wa mwanawe uliotokeza nje akiwa Hospitali ya Taifa ya...
NANI KASEMA POOL MJINI TU,HATA HUKU KWETU KIJIJINI NASI HUCHEZA NJOONI TUSHINDANE!!
Michezo mingi ya kutumia vifaa vya kisasa ipo mijini kutokana na urahisi wa upatikanaji wa vifaa hivyo vya Michezo. Pichani ni vijana na...
Hali Sasa ni Shwari Hospitali ya Taifa Muhimbili,Madaktari wote wanza kufanya kazi kama ilivyokuwa hapo awali
Baadhi ya Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakimuhudumia mmoja wa wagonjwa waliokuwa wamelazwa katika wadi namba sita kwenye J...
Taswira Zaidi Za Mkutano Wa Sita Wa Bunge La Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Balozi Mulamula akiwa na afisa wa Bunge Bw. Prosper Minja kabla ya kuanza kwa kiako cha Kamati ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama.Balozi Mul...
Rais Jakaya Kikwete Ashiriki Mazishi Ya Mwenyekiti Wa Baraza La Wazee Wa CCM Mkoani Dodoma
Picha Juu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazishi ya Mzee Omar Selemani ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa Dod...
Madaktari Mabingwa wa Jeshi la Marekani Watoa Huduma ya Macho kwa Wananchi wa Zanzibar
Mkuu wa Huduma za Tiba Jeshi la Wananchi Tanzania Meja Generali Adam Mwabulanga, akitowa maelezo ya mafanikio ya zoezi la kutoiwa huduma kw...
WASANII WAKALI KUSHIRIKI SHOO YA NGUVU NDANI YA UKUMBI WA DAR LIVE JUMAPILI HII JIJINI DAR ES SALAAM
Ambwene Yessayah ‘AY’ akiumwagia sifa ukumbi wa Dar Live ambao baada ya kuuona aligundua kuwa una hadhi ya kimataifa. Meneja wa Kundi la T...
JIJI LA MBEYA NA KERO YA UCHAFU!!
Jiji la Mbeya limekua shagala bagala katika mitaa yake hali inayofanya kukosa hadhi ya kuitwa jiji kutokana na mazingira yake hayaridhish...
Mtanzania Auawa Nchini Kenya Na Mtanzania Mwenzie!!
A security guard was found dead and another one is in police custody following a midnight attack in Kisauni, Mombasa. The deceased is said t...
Maandalizi Ya Maandamano Dhafa
Fadhil Abdul akipamba bendera kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana ikiwa ni maandalizi ya maandamano (Dhafa) yatakayofanyika Ju...