Searching...
Saturday, February 11, 2012

Rais Jakaya Kikwete Ashiriki Mazishi Ya Mwenyekiti Wa Baraza La Wazee Wa CCM Mkoani Dodoma

Picha Juu Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika mazishi ya Mzee Omar Selemani ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa Dodoma. Mzee Suleiman alifariki dunia hospitalini ya mkoa wa Dodoma jana tarehe 9 Februari, 2012 alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye mazishi ya Mzee Omar Selemani ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa CCM Mkoa wa Dodoma. Mzee Suleiman alifariki dunia hospitalini ya mkoa wa Dodoma jana tarehe 9 Februari, 2012 alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Picha na IKULU.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!