Baetrice Emanuel Kantimbo
Baetrice Emanuel Kantimbo(48)mkazi wa kwembe kata ya Kibamba,jijini Dar es salaam anaomba msaada wa fedha za kumuwezesha kutibiwa mguu wake huko nchini India,kiasi cha milioni 45 zinahitajika.
Mguu huo una zaidi ya miaka 12 toka augue na hivi majuzi alifanyiwa upasuaji hospitali ya taifa muhimbili na kuondolewa nyama zilizooza.amepimwa hana kansa,kisukari wala shinikizo la damu.
Kwa mawasiliano zaidi +255716 850 350 au+255767 850 351 kwa m-pesa au tigo pesa.
CHANZO: BOFYA

0 comments:
Post a Comment