Searching...
Saturday, February 11, 2012

NANI KASEMA POOL MJINI TU,HATA HUKU KWETU KIJIJINI NASI HUCHEZA NJOONI TUSHINDANE!!

Michezo mingi ya kutumia vifaa vya kisasa ipo mijini kutokana na urahisi wa upatikanaji wa vifaa hivyo vya Michezo. 
Pichani ni vijana na watoto walio na shauku ya kutaka kucheza mchezo wa pool na kuamua kutengeneza meza yao ya pool na kucheza kwa kutumia ndulele(Ndula) kama inavyoonekana katika picha hii. Hakika huu ni ubunifu na huyu anaecheza hapa ukimpeleka katika meza ya kisasa bila shaka atamudu vyema Mchezo huu.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!