Searching...
Thursday, February 16, 2012

MZEE YUSUF AKARIBISHWA VALENTINE'S DINNER NA KUTUNIKIWA ZAWADI NYUMBANI KWA MISSY TEMEKE WASHINGTON DC

Angalia Video ya Mwimbaji wa Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf, alivyokaribishwa rasmi valentines dinner, nyumbani kwa Missy Temeke, akishirikiana na Sophia Mmombasa, Salama Salma Jay Jay, Auntie Waheeda Margaret Gathesha, na Baadhi ya mabanati wa Wasington DC na kutunukiwa zawadi mbali mbali na wakaazi wa MD kwa hisani kubwa ya kutumbuiza siku ya Jumamosi ya Feb 5, 2012 ndani ya Washington DC Nchini Marekani. 
Daima tutamkumbuka Mzee Yusuf Al-batwa!!
Mwimbaji na Mkurugenzi wa Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf, akaribishwa rasmi valentines dinner, nyumbani kwa Missy Temeke na kutunukiwa zawadi mbali mbali na wakaazi wa Maryland kwa hisani kubwa ya kutumbuiza siku ya jumamosi ya Feb 5, 2012 ndani ya Washington DC Nchini Marekani. http://swahilivilla.blogspot.com/

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!