marquee

WELCOME URARY95 BLOG ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE FOR MORE INFORMATION CONTACT US TELEPHONE: +255714457899 E-mail:moemyad@yahoo.com YOU ARE WELCOME | KARIBU URARY95 BLOG TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI SIMU: +255714457899 E-mail: moemyad@yahoo.com | NYOTE MNAKARIBISHWA. | DO YOU NEED TO CREATE BLOG CONTACT US CLICK HERE | UNAHITAJI KUFUNGUA BLOG WASILIANA NASI BOFYA HAPA

TAFUTA CHOCHOTE BLOGUNI HAPA

Loading...

Thursday, February 23, 2012

UWANJA WA NDEGE SONGWE MBEYA NI KITENDAWILI!!


Hili ni jengo la kupokelea abiria mpaka sasa uwanja huu haujulikani utakamilika lini kwani toka mwaka jana walisema mwezi wa kumi na mbili 12 utaanza kufanya kazi lakini mpaka sasa uwanja huo unaendelea kujengwa na haijulikani utakamilika lini.

Hii ni barabara ya kutua na kurukia ndege ikiwa imekamilika.
Hii ndiyo hali ya halisi ya uwanjani hapo kitendawili chake hatujui kitateguliwa lini.
CREDIT TO MBEYAYETU BLOG.

0 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...
ASANTE SANA KWA KUTEMBELEA HAPA KARIBU TENA | KUSOMA HABARI ZILIZOPITA BOFYA OLDER POSTS