Searching...
Saturday, February 11, 2012

WASANII WAKALI KUSHIRIKI SHOO YA NGUVU NDANI YA UKUMBI WA DAR LIVE JUMAPILI HII JIJINI DAR ES SALAAM

Ambwene Yessayah ‘AY’ akiumwagia sifa ukumbi wa Dar Live ambao baada ya kuuona aligundua kuwa una hadhi ya kimataifa.
Meneja wa Kundi la TMK Wanaume Family, Said Fella akithibitisha kundi lake kutoa burudani katikia onesho hilo.
Mwana FA akielezea jinsi atakavyofanya makamuzi ya nguvu.
Chegge akielezea jinsi atakavyofunika katika shoo hiyo 'bab kubwa'.
Sehemu ya wanahabari wakiwa makini kwenye mkutano huo.Picha na Richard Bukos-GPL
****
WASANII wakali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mwana FA, AY, Kundi la TMK Wanaume Family na Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ kwa pamoja wanatarajiwa kuangusha bonge la shoo siku ya Jumapili hii ndani ya Ukumbi wa Dar Live jijini Dar es Salaam huko Mbagala.
Akizungumza na wanahabari mchana huu, mratibu wa burudani katika ukumbi huo, Juma Mbizo, alisema maandalizi yote kuhusiana na tamasha hilo yamekamilika

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!