Hali ya taharuki imetanda mjini Ayodhya kaskazini mwa India huku Mahakama Kuu ya Allahabad ikitazamiwa kutoa uamuzi wake kuhusu umiliki ...


Hali ya taharuki imetanda mjini Ayodhya kaskazini mwa India huku Mahakama Kuu ya Allahabad ikitazamiwa kutoa uamuzi wake kuhusu umiliki ...
Maharamia wa Kisomali Jeshi la Tanzania limesema limemkamata mshukiwa mmo...
Serikali ya Kenya imewaomba wabunge wa nchi hiyo kuunga mkono miswada inayolenga kuimarisha nafasi ya nchi hiyo katika Jumuiya ya Afrika M...
Benki Kuu ya Kenya CBK imeziamuru benki zote nchini humo kufuatilia kwa karibu shughuli za kibiashara za baadhi ya wafanyabiashara wenye...
Ripoti mpya iliyotolewa leo kuhusu masuala ya ukimwi inasema hatua kubwa zimepigwa katika nchi nyingi za kipato cha chini na cha wastani k...
Papa Shenouda III Kiongozi wa kikiristo wa madhehebu ya Copti nchini Misr...
Scotland kila mwaka hutupa maelfu ya tani za takataka za sumu zilizozalishwa katika viwanda na vituo vya kibiashara katika nchi masikini d...
Kongamano la siku mbili la Hija limeanza mjini Dar es Salaam Tanzania kwa kuwataka Waislamu wahifadhi na walinde umoja na mshikamano wao. ...
Mtazamo wa kutaka nafasi ya Afrika kwenye baraza la usalama umeungwa mkono pia na Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia y...
Mjadala wa kila mwaka wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa umeendelea leo Jumamosi kwenye makao makuu hapa New York. Rais wa Somalia Sheikh S...
Barundi Mamlaka ya jimbo la Kayanza, ambapo ajali hiyo imetokea, ameiambia BBC kuwa watu hao walikuwa wakichimba m...
Mahakama ya Mombasa nchini Kenya imewapata na hatia ya kufanya uharamia Wasomalia 7 na kuwahukumu kifungo cha miaka mitano jela kwa kute...
Bi. Hamida Muhaqiqi Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Paderborn nchini Ujerumani amekosoa vikali vitendo vya kibaguzi vinavyofanywa dhidi ya wa...
Rais Barack Obama akihutubia kikao cha 65 cha Umoja wa Mataifa Septemba 23, 2010. "Hakuna sababu Afrika is...
Madai yanayotokana na ghasia za uchaguzi 2008 hayajafanyiwa kesi. Matokeo ya utafiti mpya yanaonyesha kuwa idadi kubw...
China itasamehe madeni ya nchi zilizoko nyuma zaidi kiuchumi duniani, ili kuzisaidia hizo kutimiza malengo ya maendeleo ya milenia. Wazir...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon akifunga mkutano wa tathimini ya malengo ya maendeleo ya milenia mjini New York amesem...
wanajeshi wa Marekani Maseneta wa chama cha Republican nchini Marekani w...
Waziri mkuu wa serikali ya mpito ya Somalia Bw. Umar Abdirashid Sharmarke tarehe 21 alitangaza kujiuzulu, ili kuzuia hali ya kukwama ya ki...
Rais Paul Kagame wa Rwanda amewataka viongozi wa bara la Afrika waepuke kutegemea misaada ya kigeni na badala yake watumie raslimali zi...
Nchi mbalimbali zimeendelea kutoa tathimini ya hatua zake katika malengo ya maendeleo ya milenia kwenye mkutano wa Umoja wa Matai...
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton akutana na rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki, mwenyeki...
Idara ya ukaguzi wa mabaki ya kale ya sehemu za pwani ya Jumba la makumbusho ya Kenya tarehe 19 ilitangaza kuwa, ushirikiano kati ya China...
Takwimu zilizotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na ugonjwa wa Ukimwi, UNAIDS zinasema, kuanzia mwaka 2001 hadi mwaka 2009...
Maelfu ya watu waliandamana jana mjini London kupinga safari ya Papa Benedict XVI nchini Uingereza wakimtaka Kiongozi wa Kanisa Katoliki k...
Wkimbizi wa ki-Sudan wakiwatupia mawe polisi wa Misri mbele ya makao makuu ya UNHCR Cairo wakilalamika jinsi wanavyot...
Tulipowasili maeneo ya kujidai kama panavyoonekana panaitwa Pragat Resort ni nje kidogo ya mji huu wa Hyderabad Tulipata picha ya pamoja...
Chai ya asubuhi ya Eid kama inavyoonekana vitafunwa vyake vilivyokuwa mambo haya ni baada ya kumalizika sala ya Eid Vilikuwa ni vya kut...