Utawala wa Libya umepinga hukumu ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kutiwa mbaroni kiongozi wa nchi hiyo Muammar Gaddafi. Msemaji w...
Waafrika watuma msafara wa misaada kwa wananchi wa Ghaza
Msafara wa kwanza wa misaada ya kibinaadamu wa Waafrika umeanza safari kuelekea Ghaza kwa ajili ya kuwafikishia misaada wananchi madhlum...
China yatoa kanuni mpya ya kuwasaidia watu wanaotumia dawa za kulevya
Serikali ya China imetoa kanuni mpya inayowataka watu wanaotumia dawa za kulevya nchini humo kujitokeza kwa hiari kusaidiwa ili kuepuka ku...
Waandamanaji wazua ghasia Ugiriki
Polisi ya Ugiriki imetumia gesi ya kutoza machozi katika mapambano yanayoendelea hapa na pale dhid...
Senegal waandamana kupinga mgao wa umeme
Maandamano yamezuka katika mji mkuu wa Senegal, Dakar na katika jiji la kusini la Mbour kutokana n...
Ukame waikumba Pembe ya Afrika
Msomali akisubiri msaada Baadhi ya maeneo ya Pembe ya Afr...
Waziri wa zamani Rwanda afungwa maisha
Inakadiriwa watu 800,000 waliuawa mwaka 1994 nchini Rwanda...
Kongamano la umma na Afrika kuhusu sekta utumishi wa umma laanza Dar es salaam Tanzania
Kongamano la sekta ya umma Kongamano la siku tatu la Umoja wa Mataifa na Afrika linalohusu utumishi wa Umma limeanza leo jijini Dar es Sala...
Nchi masikini kabisa duniani ndio zinazobeba mzigo mkubwa wa wakimbizi:UNHCR
Antonio Guterres, kamishina mkuu wa UNHCR Nchi nyingi masikini kabisa duniani ndizo zinazobeba mzigo mkubwa wa wakimbizi tofauti na inavyoa...
Angelina Jolie na mkuu wa UNCHR wakutana na wakimbizi Lampedusa
Bi Angelina Jolie-Balozi mwema wa shirika la UM- UNHCR Jana Jumapili mcheza filamu nyota wa Hollywood ambaye pia ni balozi mwema wa shirik...
Frederick Chiluba amefariki
Rais wa zamani wa Zambia, Frederick Chiluba, amefariki, akiwa na umri wa miaka 68. Bwana Chiluba am...
Spurs haitamuuza Modric
Mwenyekiti wa klabu ya soka ya Tottenham Hotspur inayocheza katika ligi kuu ya Premier ya England,...
Mafundi 14 wazikwa kwenye vifusi Nairobi
Baada ya siku tatu ya kujaribu kuwaokoa watu wapatao 14 waliofunikwa na vifusi vya jumba la orofa sita lililoporomoka jijini Nairobi,shugh...
Afrika Kusini tayari kuandaa CAN -2013
Rais wa shirikisho la soka nchini Afrika Kusini, (Safa) amesema taifa hilo liko tayari kuchukua m...
Aliyekuwa makamu wa rais Uganda kortini
Aliekuwa makamu rais wa Uganda Prof Gilbert Bukenya anatazamiwa kufika mahakamani leo kujibu mash...
Man U yamsajili Phil Jones
Manchester United imemchukua mlinzi wa Blackburn Rovers, Phil Jones, katika mkataba wa miaka mitan...
Viongozi wajadili soko la pamoja Afrika
Viongozi wa Afrika wanakutana mjini Johannesburg kutayarisha mpango wa kuwa na bia...
Man U kumpokea Phil Jones
Mlinzi wa Blackburn Rovers, Phil Jones, anatazamiwa kujiunga na Manchester United, kufuatia makubal...
Afrika Mashariki yakabliwa na Njaa
Shirika moja la kimarekani limeonya kuwa janga kuu la uhaba wa chakula duniani linaendelea kubana mashariki mwa upembe wa Afrika. ...
Uingereza ina watoto wengi maskini
Umaskini Uingereza Japokuwa Uingereza ni miongoni mwa nch...
Aina mpya ya Bakteria yazua mtafaruku
Shirika la Afya Duniani linasema kuwa kulipuka kwa maradhi yanayosababishwa na aina ya bakteria a...
'Fedha zaidi zahitajika' kwa tiba ya HIV
Muundo wa HIV Mkuu wa jumuiya ya kimataifa ya ukimwi alise...
Wenger ataka Mabeki warefu msimu ujao
Msimu wa mwaka 2010/2011 ulimalizika kwa huzuni mkubwa kwa Arsenal. Hii ni klabu ambayo matarajio ...
UN:Pande zote zilihusika katika uhalifu wa kivita Libya
Wanajeshi wa Libya Wachuguzi wa Umoja wa Mataifa wameshtum...