Nchi nyingi masikini kabisa duniani ndizo zinazobeba mzigo mkubwa wa wakimbizi tofauti na inavyoaminika na wengi kwamba nchi tajiri ndizo zinabeba mzigo wa wakimbizi.
Hii ni kwa mujibu wa kamishina mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR Antonio Guterres. Anasema hofu kwamba nchi zilizoendelea ndio zinaghubikwa na wimbi kubwa la wakimbizi si sahihi. Katika siku hii ya wakimbizi duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka Juni 20 Guterres amesema nchi hizo masikini, nyingi ziko barani Afrika

0 comments:
Post a Comment