Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Habari. Vijana , Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukangara kwenye viwanja vya ...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete azindua mradi wa maji Mbeya
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete,Kamishna wa Maendeleo Jumuiya ya Ulaya Andris Piebalgs(Watau kushoto) na Waziri wa Maji Profesa JumA...
Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu wa Zanzibar ajiuzulu
Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu wa Zanzibar, Hamad Masoud (pichani) amejiuzulu kufuatia shinikizo za za watu na maandamano. Ku...
Siku ya Mashujaa kufanyika kitaifa katika viwanja vya Mnazi mmoja tarehe 25 Julai 2012 jijini Dar es salaam
Askari Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) watakaoshiriki kwenye gwaride wakati wa maadhimisho ya siku ya mashujaa wakiendelea ...
Wasio tambulika ajali ya Boti ya Skagit waanza kuzikwa na serikali
Baadhi ya Maiti zilizookolewa kutoka katika Meli iliozama na kukosa watu wake zikipelekwa kuzikwa na Serikali katika Eneo la...
WATANZANIA UJERUMANI WATOA POLE
UMOJA WA WATANZANIA UJERUMANI (UTU) UNATOA MKONO WA POLE NA RAMBI RAMBI KWA NDUGU NA JAMAA WALIOPATWA NA MAAFA KUTOKANA NA AJALI YA ...
HOTUBA YA RAIS WA ZANZIBAR KWA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN LEO
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wafanyabiashara kufanya biashara zao kwa ...
Zoezi la utambuaji wa miili linavyoendelea visiwani Unguja
Baada ya utambuzi ni machungu, tukio la utambuzi wa miili ya ndugu, jamaa, na marafiki linaendelea katika viwanja vya Maisara, huko...
Ajali ya Boti yamletea Kasheshe Spika Makinda
AJALI ya kuzama kwa Boti mali ya kampuni ya Seagull July 18, 2012 ilizua hali ya kwanini ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tan...
Rais Shein katika mkutano na Viongozi wa Serikali juu ya ajali ya Boti
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali alipofi...
Picha zaidi maafa ya meli
Watalii na raia wa kigeni pia walikuwemo katika meli iliyozama hawa ni baadhi ya waliosalimika Abiria waliookolewa kutoka kat...
matukio mbalimbali ya ajali ya meli iliyozama Chumbe
Mmoja wa Majeruhi akipata huduma ya Kwanza baada ya kuokolewa akiwa katika bandari ya malindi Daktari akitowa huduma ya kwanza kw...
Keita aondoka Barcelona
Mchezaji wa kiungo wa Mali Seydou Keita amekihama klabu cha Barcelona baada ya kukichezea kwa m...
Misri: Mahakama kujadili amri ya rais
Kifaru cha jeshi nje ya majengo ya bunge Mahakama Kuu ya kikati...
Taarifa kutoka Shirika la Maendeleo Bumbuli
SHIRIKA LA MAENDELEO BUMBULI Taarifa kwa Vyombo vya Habari Napenda kuwatangazia wana-Bumbuli kwamba ile ahadi niliyotoa w...