Searching...
Thursday, July 19, 2012

Zoezi la utambuaji wa miili linavyoendelea visiwani Unguja

 Baada ya utambuzi ni machungu, tukio la utambuzi wa miili ya ndugu, jamaa, na marafiki linaendelea katika viwanja vya Maisara, huko Unguja
 Hawa bado wako kwenye foleni ya kwenda iliko miili na kutambua ndugu zao
 ..watoto jamani, ...dah!
 Raia hawa wakigeni nao walifika kujaribu kuangalia kama wanaweza kuwatambua wenzao...
 Wanahabari kutoka vyombo mbali mbali wakiwa kazini
 ..na miili bado yaendelea kuletwa...
Kuna wale ambao hawajatambuliwa na miili yao inaonekana kuanza kuharibika, kuna watu maalum kwa ajili ya kuandaa mazishi yao...
Inasikitisha
PICHA NA YUSUPH SIMAI WA MAELEZO ZNZ

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!