Klabu ya Bolton Wanderers imeamua kumtupia virago aliyekuwa kocha mkuu
wa klabu hiyo, Dougie Freedman kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kushindwa
kukidhi matarajio ya Bolton.
![]() |
Kwa sasa The Wanderers wanapambana kufa na kupona kupanda ligi kuu nchini Uingereza baada ya kushuka daraja msimu wa 2011-2012.
0 comments:
Post a Comment