Searching...
Saturday, October 4, 2014

DI MARIA MCHEZAJI BORA WA MWEZI WA MAN UNITED

Kiungo mpya wa Man United, Angel Di Maria ameteuliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi wa Man United.

Pamoja na kupata asilimia 23 ya kura huku akilingana na Rafael, lakini badaye alishinda zaidi kwenye kura za mtandao.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!