Searching...
Wednesday, July 30, 2014

RONALDO AREJEA REAL MADRID, LAKINI AJIFUA PEKE YAKE KIVYAKE

MWANASOKA bora wa dunia, Cristiano Ronaldo jana ameungana na wachezaji wenzake wa Real Madrid katika mazoezi ya kujiandaa na msimu nchini Marekani. 
Ilikuwa ni siku yake ya kwanza anafanya tena mazoezi na timu yake hiyo, baada ya kufanya vibaya kwenye Kombe la Dunia akiwa na nchi yake, Ureno iliyotolewa katika hatua ya makundi akiambulia kufunga bao moja tu.
Alilakiwa na mamia ya mashabiki katika uwanja wao wa mazoezi mjini Los Angeles kabla ya kwenda kufanya mazoezi mepesi peke yake, huku wenzake wakiendelea na program kamili.
Amerudi: Cristiano Ronaldo amerudi mazoezini Real Madrid kujiandaa na msimu mpyaLone runner: He most trained by himself as he looked to recover his fitness
Ronaldo akikimbia peke yake kujiweka fitiBack in action: Fabio Coentrao and Sergio Ramos are among those to have also returned
Fabio Coentrao na Sergio Ramos pamoja na wachezaji wengine wa Madrid wakijifua tofauti na Ronaldo

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!