Kazini:
Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney akimtoka beki wa Inter
Milan, Jonathan kipindi cha kwanza jana katika mchezo wa Kombe la
Kimataifa nchini Marekani. United ilishinda kwa penalti 5-3 baada
ya safe 0-0.
Chris Smalling wa United kushoto akipambana na Mauro Icardi wa Inter Milan
Mauro Icardi kushoto akipambana na Ander Herrera
Juan Mata wa Man United kulia akimtoka Juan Jesus
Ander Herrera akipiga mpira dhidi ya Dodo wa Inter Milan
Kocha
wa United, Louis van Gaal akizungumza na beki Luke Shaw ambaye
amemuambia hayuko fiti kiasi cha kutosha na kumtaka afanye mazoezi
ya peke yake kujiweka fiti kwanza
Beki wa zamani wa Man United, Nemanja Vidic, ambaye amehamia Inter Milan msimu huu jana alikutana na klabu yake ya zamani
0 comments:
Post a Comment