Searching...
Monday, May 12, 2014

KIKOSI CHA ENGLAND KITAKACHOENDA BRAZIL – ASHLEY COLE AACHWA NA AJIUZULU

Muda mchache uliopita kocha wa timu ya taifa ya England Roy Hodgson amekitangaza kikosi cha timu kitakachowawakilisha waingereza kwenye michuano ya kombe la dunian nchini Brazil.
Katika kikosi hicho Ashley Cole aliyetangaza kustaafu jana baada ya kupewa rasmi na kocha Hodgson kwamba hatoitwa kwa pamoja na Micheal Carrick, Tom Cleverly, Jermaine Defoe wote wametemwa.
Kikosi kamili kipo hivi:
Goalkeepers: Joe Hart (Manchester City), Fraser Forster (Celtic), Ben Foster (West Brom)
Defenders: Glen Johnson (Liverpool), Phil Jones (Manchster United), Phil Jagielka (Everton), Gary Cahill (Chelsea), Chris Smalling (Manchester United), Luke Shaw (Southampton), Leighton Baines (Everton), Steven Gerrard (Liverpool), Frank Lampard (Chelsea), Jordan Henderson (Liverpool), Ross Barkley (Everton), Jack Wilshere (Arsenal), Alex Oxlade-Chamberlain (Arsenal), Raheem Sterling (Liverpool), Adam Lallana (Southampton), James Milner (Manchester City)
Forwards: Daniel Sturridge (Liverpool), Wayne Rooney (Manchester United), Danny Welbeck (Manchester United), Rickie Lambert (Southampton)

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!