Searching...
Sunday, May 11, 2014

ANCELOTTI AMTUPA NJE RONALDO MECHI DHIDI YA CELTA VIGO


Kocha Mkuu wa Real Madrid, Carlo Ancelotti amesema mchezaji wake nyota, Cristiano Ronaldo hatacheza mechi dhidi ya Celta Vigo, kesho.

Mechi hiyo ya La Lila ni muhimu na Real Madrid wanalazimika kushinda, lakini Ancelotti amesema bado hajawa fit vizuri hive wana hofu asijitoneshe kabla ya mechi ya fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Atletico Madrid.
"Hatacheza kasha, hayuko fit kwa asilimia mia, siko tayari kumchezesha mchezaji amble hayuko fiti.
"Ndiyo pia kitatokea kwa Carvajal,  di MarĂ­a amber pia hawk fit, sioni kama ni sahihi wacheze," alisema.
Ancelotti alisema pamoja na kumkosa Ronaldo, kikosi chake kina nafasi ya kufanya vizuri katika mechi hiyo.
Hata hive imekuwa ikionekana Madrid bill Ronaldo imekuwa ikiboronga.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!