Searching...
Sunday, May 11, 2014

SERGIO RAMOS ASEMA MTOTO WAKE ATAKUWA HURU KUCHAGUA ANACHOTAKA


Beki nyota wa Real Madrid amesema hatamchagulia mwanaye Sergio Ramos Junior nini cha kufanya.

Ramos ambaye amekuwa baba kwa mara ya kwanza baada ya mpenzi wake kujifungua kwa mara ya kwanza, amesema mwanaye atakuwa huru kuchagua naye na mama yake watakuwa washauri.
“Ni suala la kusubiri, lakini ikifikia suala la kufanya atakuwa huru.

“Achague anataka kufanya nini na sisi tutamsaidia kipi ni sahihi au la kama washauri,” alisema.
Ramos alionekana ni mwenye furaha kuu baada ya Pilar Rbio kujifungua salama.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!