Searching...
Tuesday, July 26, 2011

Benki kuu ya Sudan yatoa rasmi sarafu mpya

Benki kuu ya Sudan tarehe 24 imetoa rasmi sarafu mpya kwa benki mbalimbali ili kuzitumia badala ya sarafu zinazotumika sasa. Hii ni mara ya saba kwa Sudan kutoa sarafu mpya katika historia kutokana na sababu za kisiasa au kiuchumi.
Baada ya Sudan Kusini kutangaza kujipatia uhuru na kutoa sarafu mpya tarehe 18 Julai, Sudan ilitoa sarafu mpya haraka kwa ajili ya kulinda utulivu wa uchumi, soko la fedha na jamii. Sarafu mpya ya Sudan ni pamoja na noti ya pound 1, 2, 5, 10, 20 na 50. Thamani ya sarafu mpya ni sawa na sarafu ya zamani. Hakuna alama yoyote inayohusiana na Sudan Kusini katika sarafu mpya.

0 comments:

WELCOME URARY95 SPORTS NEWS BLOG | ADVERTISE YOUR BUSINESS HERE AT A CHEAP PRICE MORE INFORMATION CONTACT US: 0654315901 | Email: urary95@yahoo.com | KARIBU URARY95 SPORTS NEWS BLOG | TANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA GHARAMA NAFUU KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NASI: 0654315901 | Barua Pepe: urary95@yahoo.com
 
Back to top!