Kwa sasa India ndiyo muuzaji mkubwa zaidi wa madawa kwenda kwa mataifa yanayoendelea lakini mkataba huo wa kibiashara unaojadiliwa kwa sasa kati ya India na Jumuiya ya Ulaya unahataraisha kutengenezwa kwa madawa hayo. Grover amesema kuwa mamilioni ya watu katika nchi zinazoendelea wanaitegemea India kwa madawa kwa bei nafuu na kuongeza kuwa kuzuia kuundwa kwa madawa hayo kutakuwa na madhara makubwa ya kiafya kote duniani. George njogopa na taarifa kamili
Mkataba ya kibiashara kati ya India na Jumuiya ya Ulaya kuathiri upatikanaji wa madawa:UM
Mjumbe maluum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya kuwa na afya nzuri Anand Grover amesema ameonya kuwa makubalino ya kibiashara kati ya India na Jumuiya ya ulaya huenda ikazuia mamilioni ya watu kupata madawa yanayookoa au kurefusha maisha.
Kwa sasa India ndiyo muuzaji mkubwa zaidi wa madawa kwenda kwa mataifa yanayoendelea lakini mkataba huo wa kibiashara unaojadiliwa kwa sasa kati ya India na Jumuiya ya Ulaya unahataraisha kutengenezwa kwa madawa hayo. Grover amesema kuwa mamilioni ya watu katika nchi zinazoendelea wanaitegemea India kwa madawa kwa bei nafuu na kuongeza kuwa kuzuia kuundwa kwa madawa hayo kutakuwa na madhara makubwa ya kiafya kote duniani. George njogopa na taarifa kamili
Kwa sasa India ndiyo muuzaji mkubwa zaidi wa madawa kwenda kwa mataifa yanayoendelea lakini mkataba huo wa kibiashara unaojadiliwa kwa sasa kati ya India na Jumuiya ya Ulaya unahataraisha kutengenezwa kwa madawa hayo. Grover amesema kuwa mamilioni ya watu katika nchi zinazoendelea wanaitegemea India kwa madawa kwa bei nafuu na kuongeza kuwa kuzuia kuundwa kwa madawa hayo kutakuwa na madhara makubwa ya kiafya kote duniani. George njogopa na taarifa kamili

0 comments:
Post a Comment